Ukisikiliza pande zote, Kama una akili timamu utajua yupi anasema ukweli yupi anasema uongo.kwamba huo upande wa pili hauwezi kudanganya??
Hamna 🤔ukijikwaa mara moja marufuku kujikwaa tena.Sasa kwa shamba boi sii ndio utashangaa imei gia nyingine imoooo 🤣🤣🤣 maana lazima asimamie kucha na kunyunyuzia mbolea ndani ndani ndaniiiiiiii
Haha😀 wana changamoto zao ila pia wana mazuri yao si habaUnawapamba sana 😃😂
Hakika 🙏Ukisikiliza pande zote, Kama una akili timamu utajua yupi anasema ukweli yupi anasema uongo.
Nakuhakikishia 80% ya masingo maza, tatizo huwa ni wao. Hakuna mwanaume anavumilia gaabia flani za wanawake hasa kumegwa nje, kiburi, dharau
dah, haya mambo ni mazito nafkiria hapa kichwa kinapata moto😂Upande wa pili unasema eti nimsamehe ni ujana tu.Teh!
Basi kama umeamua hivyo hata mawasiliano nae kata kabisa.Mwanae watakutana mbele siyo mikononi mwangu.Mwanae yupi kwanza ?
Sasa wee unadhani shamba boi hatataka atie mimba?Hamna 🤔ukijikwaa mara moja marufuku kujikwaa tena.
IUpande wa pili unasema eti nimsamehe ni ujana tu.Teh!
habari yake imekwishaashaoa sasa
Huko alikooa hajapata watoto?usithubutu kumvulia kyupi tena aiseeh atakushusha hadhi 🙏Haiji kutokea afu ashaoa sasa, nimsamehe Nini tena mkuu?
Ukosefu wa elimu na akili,By the way hakuna mwanamke anaye wish kuwa single mama ila huwa inatokea sometimes na hao wanawake walikuwa na option ya kufanya abortion pia ila waliamua kutunza hicho kiumbe ambacho hakina hatia kifurahie maisha ambayo amezawadiwa na Mwenyezi Mungu. Tuache kuwasema vibaya single mamas wanapitia mengi sana