Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Ukisikiliza pande zote, Kama una akili timamu utajua yupi anasema ukweli yupi anasema uongo.

Nakuhakikishia 80% ya masingo maza, tatizo huwa ni wao. Hakuna mwanaume anavumilia gaabia flani za wanawake hasa kumegwa nje, kiburi, dharau
Hakika 🙏
 
By the way hakuna mwanamke anaye wish kuwa single mama ila huwa inatokea sometimes na hao wanawake walikuwa na option ya kufanya abortion pia ila waliamua kutunza hicho kiumbe ambacho hakina hatia kifurahie maisha ambayo amezawadiwa na Mwenyezi Mungu. Tuache kuwasema vibaya single mamas wanapitia mengi sana
Ukosefu wa elimu na akili,

Kama unaipenda future yako utajilinda,
 
Mkipataga wanaume wa kuwabeba na watoto wenu badala ya kuwa humble na kuwaheshimu ndo mnazidi kuwaona maboya, mnaenda mbali hadi mnaanza kupanga appointment na baba wa mtoto na kumegana juu juu maana kutokana na matunzo upatayo na sasa baba mtoto anakuona wa thamani sasa, Na iwapo huyu alieamua kukusitiri akionesha kama kuchukizwa na ukaribu basi mnamgeuzia kibao kwamba kutokana na yeye kukuweka ndani basi anawanyanyasa kisa wivu wa kutokutaka baba wa mtoto amuone mwanae. Dah, soo sad
 
Back
Top Bottom