Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Ukisikiliza pande zote, Kama una akili timamu utajua yupi anasema ukweli yupi anasema uongo.kwamba huo upande wa pili hauwezi kudanganya??
Nakuhakikishia 80% ya masingo maza, tatizo huwa ni wao. Hakuna mwanaume anavumilia tabia flani za wanawake hasa kumegwa nje, kiburi, dharau