Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
You have hit the nail on the head 💪💪.Wengi/baadhi wanapasha kwa sababu ya financial difficulties. Siamini kama mtu kakuzalisha, kakuacha kwa maneno machafu, kesho ukamvulie huku umelea kwa shida sana.
Ninachojua, Ke ana matatizo ya kiuchumi, anayeweza kumpa sapoti kwa haraka na ex baby daddy, hana jinsi zaidi ya kumwambia baba mtoto aje, ategwe, apewe.
Singlemom wasokua na Uchumi huru, ndio wanaonyanyasika.
That's why, Mwanamke aliyeolewa mwenye kazi, akiona mwanaume anazenguaa, anatomba Talaka !!.