Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

Wengi/baadhi wanapasha kwa sababu ya financial difficulties. Siamini kama mtu kakuzalisha, kakuacha kwa maneno machafu, kesho ukamvulie huku umelea kwa shida sana.

Ninachojua, Ke ana matatizo ya kiuchumi, anayeweza kumpa sapoti kwa haraka na ex baby daddy, hana jinsi zaidi ya kumwambia baba mtoto aje, ategwe, apewe.
You have hit the nail on the head 💪💪.


Singlemom wasokua na Uchumi huru, ndio wanaonyanyasika.



That's why, Mwanamke aliyeolewa mwenye kazi, akiona mwanaume anazenguaa, anatomba Talaka !!.
 
Eti "mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume ambaye hakukupa thamani ....!!

[emoji38][emoji38] hayo ni maneno tu
 
Ni mbinafsi....nilizaliwa mara Moja nitakuwa mara Moja...I swear sitomsamehe...alisema hata nisipompa Leo akikua mtoto atamtafuta.....ndo asubiri....sitaki kuniona sura yake hata kidogo
Kumbuka Kuna second chance.
Halafu taarifa za mimba ulimwambia mkiwa katika hali gani?

Ndio amefika na mastress yake?
Umempa tunda huku umemlalia kifuani?
Au ile ya Kinyakyusa utajua hujui?

Wengi huwa tunapata hofu tunapozisikia kwa mara ya kwanza na Wanaume wote huwa tuna maswali zaidi ya mia kichwani kifupi tupo confused.

Mkaribishe kwa mikono miwili, yaliyopita si ndwele mgange yajayo.
Fanya Fanya To yeye
 
Sasa wee unadhani shamba boi hatataka atie mimba?
Mwanaume gani anaejielewa atakubali kuoa mwanamke single mom? Hapo options zilishashuka.
Hivi wadhan nasi wanawake hatuhitaj ngono kama burudan tu?wadhan wanawake wanahitaj ngono kwaajil ya mimba kila wakati?no,unafel wapi wewe?mie nakuona mjanja wa mjin afu unaonyesha mitizamo ya watu wa sitimbi huko🤔🤔
 
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka...Yaan bila kutarajia...mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka....nikisema iliingia Kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya...tulipanga Nami nilijiaminisha Kwa sababu Kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss,nimelipata bwana!

We bwana wee...kumbe nimepatikana ...Yaan Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba".....nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms...siyo Kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa...noo,ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu...jamaa alichoniambia ni kuwa...umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!

Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu...sasa ninachokuuliza ..hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto....mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa....nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨

NB:sijawahi mjaza sumu mwanangu...hicho ndicho nilichoshinda....namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano.Hongereni Kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni Kaz kweli.Nawapenda sana😍😘
DOUBLE MOMS NDO HUWA WANAKUAJE?
 
Du wakati nasoma huu uzi madam huu 22hr30, kuna Single mom hua namkwepa sana mana Alisha nipa papuchi sana amenitumia sms muda huu NIJE,imebidi nicheke tu mana hata sijamaliza huu uzi. Mungu awasaidie Single mama
Mpee tu...mwambie awe makini tu
 
Hivi wadhan nasi wanawake hatuhitaj ngono kama burudan tu?wadhan wanawake wanahitaj ngono kwaajil ya mimba kila wakati?no,unafel wapi wewe?mie nakuona mjanja wa mjin afu unaonyesha mitizamo ya watu wa sitimbi huko🤔🤔
Ofcoz wanwake wana hisia so tutaendelea kuwapeana jamaa wapige mbususu mnakula burudani au sio
 
Mkipataga wanaume wa kuwabeba na watoto wenu badala ya kuwa humble na kuwaheshimu ndo mnazidi kuwaona maboya, mnaenda mbali hadi mnaanza kupanga appointment na baba wa mtoto na kumegana juu juu maana kutokana na matunzo upatayo na sasa baba mtoto anakuona wa thamani sasa, Na iwapo huyu alieamua kukusitiri akionesha kama kuchukizwa na ukaribu basi mnamgeuzia kibao kwamba kutokana na yeye kukuweka ndani basi anawanyanyasa kisa wivu wa kutokutaka baba wa mtoto amuone mwanae. Dah, soo sad
Njaa ikiisha wanarudisha majeshi
 
Du wakati nasoma huu uzi madam huu 22hr30, kuna Single mom hua namkwepa sana mana Alisha nipa papuchi sana amenitumia sms muda huu NIJE,imebidi nicheke tu mana hata sijamaliza huu uzi. Mungu awasaidie Single mama
We nenda anakuchukulia kama sex machine tu🤣🤣
 
Back
Top Bottom