Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

We nae, mtoto wa miaka sita ni mdogo? Mimi miaka 6 nilikua naenda na mama shamba kulima, hujaenda kulima nabaki home kumwangalia mdogo wangu wazazi wapo shamba. Malezi mabovu tu. Miaka sita nibmtoto wa kijikojolea? Mtoto wa miaka mitatu anajua kabisa kusema mama njojoe. Utakua single mother ww
 
Single mother wengi hawana akili lakini huyu Wako ni Mbulula kabisa.
 
Huyo Mama anaonekana ni Mzanzibar😆😆😆
 
Wambie Hannah ndio maana nakupenda.

Hata mimi nikio Mama Wa Kambo nataka asimamie Game kama Mama wa familia na watoto wote wafate malezi bora ya Mama yao Mpya.
Akiwa mjinga ndio yatakuwa ya shida mkuu.
Mbona baba wa kambo wengi wanaishi na watoto wao wa kambo vizuri tu?
Shida ni pale mama asipotaka kukubali yule baba wa kambo asimame kama baba na sheria zake katika malezi zifuatwe.
 
Umefanya maamuzi sahihi.

Tulishakubaliana single maza ni wa kupiga hit and run sio wa kufanya nao maisha

Naona mwanetu ulikuwa tayari hadi kusomesha bao la mwanamume mwenzako, daah! Inasikitisha sana
Hili somo kwanini vijana hawalielewi? Nyge zinawasumbua sana.

Eti kwa sababu ana sura nzuri, rangi nzuri na umbo zuri.

Angekuwa na Uzuri mwanaume mwingine akamwacha na kutelekeza mtoto wake?

Tabia ni kitu muhimu sana baada ya Kunyanduana.
Kama hujanyandua vizuri utajisemea Tabia mtavumiliana lakini baada ya mnyanduo akili zinarudi kwamba umeoa bomu la mtu.
 
Kwa vijitabia hivyo hata watoto tuliozaa hawana hizo sembuse wa Kufikia??
 
Anataka baba wa kambo jukumu lake liwe ni kutoa hela tu mtoto akitaka hiki au kile. Kwenye kunyoosha tabia anaona mtoto wake ananyanyasika ujinga tu
Ndio maana tunasema Single mothers kabla hawajawa single parents tayari wanakuwa na matatizo.

Hebu fikiria kama huyo Maza.Mwanaume kahitosa kabisa.

Ila mleta Mada hajasema Baba wa Mtoto yuko wapi.
 
Hii ndio Sababu Mtoto wa single maza akiwa mwanamke na yeye 100%anakuwa Single maza na akiwa mwanaume basi Bangi, madawa ya kulevya au anakuwa Muumini wa Baraka za Papa
 
Watu wengine najua hampendi mbinu zangu za malezi
ila mzee huyo mdada inaonekana anakupenda wewe fanya hivi


Mwambie huyo dogo kitu mara moja akikataa unamuweka kibao au mbata ya shingo nzito najua katalia ila mama yake akifika ni message sent

Tumia utaratibu huu wa kukavizia kama guerilla war mwezi mmoja tu
Utaona kananyooka

Zingatio piga wakati mama hayupo😁😁😁

Yani hata shopping unakabeba kakililia kitu ni mbata za shingo kufinya mixer lakini mama hajui😂😂

Ukimnyoosha huyo kijana sahv mambo yatakunyookea baadae

Na yeye jinsi mambo yakiwa magumu kwake mwenyewe hatotaka kulala na nyie

Case solved ✅
 
Wewe ndio umeingia cha kike nashkuru umejinasua kwenye hilo shimo la moto.


Kuoa single mother mwenye mtoto haifai... Na kwa tabia zao ulizosema inatosha kusema kataa ndoa ni utapeli

KATAA NDOA KATAA NDOA NI MTEGO MBAYA SANA.

KATAA NDOA NA SINGLE MOTHER.



SINGLE MOTHER WOTE WATUPWE ZIWA NYASA WAKAFIE HUKO.

Jamaa yangu umejinasua na huyo mwanamke na inaonekana hilo single mother li ZURI sana umeonyesha udhaifu kutumia hisia kuliko akili yenye tafakuri. Aiseee usije rudia kupenda matako hayana faida. Mademu ni wengi nafasi unayo tafuta utapata
 
Pole sana, ila nimefurahi umekuja kuleta taarifa za kisa chako na sio kuomba ushauri. Umeonesha ukomavu wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…