Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Na Wewe hiki ndio kilikuingiza MkengeAmejaliwa tu rangi, sura na umbo zuri. Akili hana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Wewe hiki ndio kilikuingiza MkengeAmejaliwa tu rangi, sura na umbo zuri. Akili hana.
We nae, mtoto wa miaka sita ni mdogo? Mimi miaka 6 nilikua naenda na mama shamba kulima, hujaenda kulima nabaki home kumwangalia mdogo wangu wazazi wapo shamba. Malezi mabovu tu. Miaka sita nibmtoto wa kijikojolea? Mtoto wa miaka mitatu anajua kabisa kusema mama njojoe. Utakua single mother wwBaba hao wa miaka ya 90s na 2000 kazi yao ni kulalamika tu, .....kama baba wa kufikia umeshindwa kusimamia au kulea huyu mtoto kama unavo penda unaishia kulalamika mitandaoni, nyie vitoto vya 2000 endeleeni na kampeini ya kukataa ndoa nyie hamna akili ya kulea ndoa, unalalamikia mtoto wa miaka sita kweli?????
Single mother wengi hawana akili lakini huyu Wako ni Mbulula kabisa.6. Mkitoka mkaenda sehemu analilia kila kitu kinachoona. Ukikataa kununua mama yake anasema kwa unyonge " basi mwanangu usilie angekuwepo hai baba yako angekununulia. Vumiiia baba" mara tatu namsikia anaongea hayo maneno kama kuniumiza kuwa simjali mtoto wake.
Huyo Mama anaonekana ni Mzanzibar😆😆😆Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa.
Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi huwa sina ubaya na watoto. Ila sipendi vitoto vinavyodeka na vitundu. Nimepata naye changamoto mpaka nimemwambia HATUWEZI KUENDELEA MBELE. ACHAGUE KUISHI NAMI AU KUISHI NA MTOTO WAKE.
Maana nlimpa option ampeleke kwa bibi yake mimi nitamlipia ada na mahitaji mengine. Akasema anapenda kuwa karibu na mwanaye bibi yake ni mkali kwa watoto. Nikaelewa shida ni huyu mwanamke hana akili ya kulea mtoto. Amejaliwa tu rangi, sura na umbo zuri. Akili hana.
1. Mtoto ana miaka 6 kinadeka kama cha miaka 3. Kinajikojolea mama yake anasema usipokikumbusha kwenda kukojoa kinaona uvivu kinajikojolea hapo hapo kilipo.
2. Ana makelele mtu haukai ukapumzika. Fujo muda wote kinataka kiangalie TV na kinajua kucheza amapiano na singeli. Mama yake anacheka anakapigia makofi na anataka eti tukae kukiangalia kwa huo upuuzi.
3. Mtoto anaangalia michezo ya kiswahili na ile ya kipuuzi ya Azam Tv ya kutafsiri na kinapenda ile mbaya wanakaa kuangalia na mama yake. Mimi hiyo ni kichefu chefu.
4. Mtoto hakitaki kulala mchana muda wote kina fujo na kelele na amekizoesha hadi saa tano kinakuwa hai tu sebuleni.
5. Mtoto hataki kulala room ya peke yake. Amekizoesha kikilala kimkumbatie. Anasema ndo kinapata upendo. So inabidi tulale watatu kitandani na akumbatiane na kitoto chake. Tunatiana kwa nadra sana kwa Timing. Anaamka akinyata na kuniambia nimfuate sebuleni nikapige bao chap chap nirudi tukalale kabla hakijaamka na kuanza kulia.
6. Mkitoka mkaenda sehemu analilia kila kitu kinachoona. Ukikataa kununua mama yake anasema kwa unyonge " basi mwanangu usilie angekuwepo hai baba yako angekununulia. Vumiiia baba" mara tatu namsikia anaongea hayo maneno kama kuniumiza kuwa simjali mtoto wake.
7. Mtoto ameshaharibu vitu vingi ndani na kuvunja. Mama yake anacheka tu na kusema we Ikram usifanye hivyo hapa siyo kwenu.
Kiufupi ni kuwa huyu mama napomwambia kuwa mtoto anatakiwa alale mchana, usiku alale mapema, asiangalie sana TV, sitaki ajikojolee kwenye sofa au kitanda anaona mimi simpendi mwanawe.
Juzi nimemtolea uvivu. Nimemwambia sasa inatosha waondoke arudi akakae na mama yake. Akitaka kuja kwangu asije na mtoto wake. Sitaki kero na sitaki unafiki. Siwezi jifanya nafurahia wakati si kweli. Amelia sana kuwa hakujua sipendi watoto. Nimemwambia tabia za mtoto wake sizipendi na anamlea vibaya. Akiendelea hivyo kitoto either kitakuwa kishoga or kijizi.
Amerudi kwao. Tumeshindwana. Anatuma msg kuwa naonekana mtu mzuri kumbe nina roho mbaya. Yeye atajinyonga tu aniache na roho yangu. Nimemnyanyasa.
Nikipenda Boga nipende na ua lake sijui na nini na nini. Nimemwambia hata mtoto wangu siwezi mruhusu amlee vile.
Akiwa mjinga ndio yatakuwa ya shida mkuu.
Mbona baba wa kambo wengi wanaishi na watoto wao wa kambo vizuri tu?
Shida ni pale mama asipotaka kukubali yule baba wa kambo asimame kama baba na sheria zake katika malezi zifuatwe.
Hili somo kwanini vijana hawalielewi? Nyge zinawasumbua sana.Umefanya maamuzi sahihi.
Tulishakubaliana single maza ni wa kupiga hit and run sio wa kufanya nao maisha
Naona mwanetu ulikuwa tayari hadi kusomesha bao la mwanamume mwenzako, daah! Inasikitisha sana
Kwa vijitabia hivyo hata watoto tuliozaa hawana hizo sembuse wa Kufikia??kinajua kucheza amapiano na singeli
😃😀🙆👆
Ndugu, inaonekana huna upendo na watoto wadogo.
Sema usemavyo, huyo ni mtoto na anahitaji malezi na maelekezo.
Pia huyo mwanamke umeshindwa kumridhisha kisaikolojia ili asione utofauti wa baba mzazi na baba mlezi wa mtoto.
Ukiweza kumpenda huyo mtoto hakika huyo mwanamke ungemgusa moyo wake na angetulia.
Atakuja na nyuzi hapa.Kuna jamaa yangu kampangia chumba&sebule singo mother wa watoto wawili (miaka 2&4), anasema kupata sex Ni mpaka ajipange Ela ya gesti wakati alikompagia pango kalipia miezi 6. Nae soon anakaribia kutema BUNGO[emoji23]
Ndio maana tunasema Single mothers kabla hawajawa single parents tayari wanakuwa na matatizo.Anataka baba wa kambo jukumu lake liwe ni kutoa hela tu mtoto akitaka hiki au kile. Kwenye kunyoosha tabia anaona mtoto wake ananyanyasika ujinga tu
Hii ndio Sababu Mtoto wa single maza akiwa mwanamke na yeye 100%anakuwa Single maza na akiwa mwanaume basi Bangi, madawa ya kulevya au anakuwa Muumini wa Baraka za PapaHilo ni furushi kwa kauli hizi, mama timamu na akili zake hawezi mwambia mtoto mdogo haya maneno.
Napenda sana watoto ila sio wenye vitabia vya hovyo na mama zao wanawachekea.
Kuna singo maza mmoja ana mwanae wa kiume miaka 6 ivi, tabia za kike kike kila kitu ni kususa na sitaki na kupandisha mabega kama kangaroo alafu mama yake anamchekea"hehehe ndio alivyo atalia".
Mwanamke akishakuwa na mtoto mahusiano yake mapya yanakuwa na shida sana...
Wengi wanawadekeza na pia wanakuwa hawana muda na watotoHii ndio Sababu Mtoto wa single maza akiwa mwanamke na yeye 100%anakuwa Single maza na akiwa mwanaume basi Bangi, madawa ya kulevya au anakuwa Muumini wa Baraka za Papa
Kibubu kikijaa unapeleka wapi mkuu? Mahusiano hayakwepeki.Honestly ningekua single mother heri kukaa na kulea tu mwanao kuliko kuanzisha mahusiano mengine