Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

Akishazalishwa halafu wewe ukaoa,
issue kama ya sister wako haikwepeki.

Kwa wengine hupelekea mauaji kabisa kunusuru ndoa ambayo mtu alishakata tamaa ya kuolewa.
Huyo jamaa msumbufu mwenye mtoto alikutana na single mother mpole na soft,
kwingine angepotezwa kabisa
Sawa ndugu Muiraq wazima hapo mbulu pande za kainam au endabash au hayamoe tlawi endasaki bashinet dareda na kote huko
 
Ndio muache kuwapopoa mawe single mothers humu, wanaume baadhi wana tabia ngumu mno!

Hiyo story hadi huruma. Jamaa alimuharibia mwanzo, akamuharibia tena! Mtu kama huyo ukipata chance unamlisha sumu tu akafie mbele!
 
Unaoa single mother kama na wewe ni single father, hapo inawezekana mambo yakaenda as wote mnaanza mechi with an equal aggregate. Zaidi ya hapo unatafuta pressure tu. Men wengi hawapendi mafanikio ya wanawake waliowazalisha, hivyo akiona tu binti kanawiri, anaishi poa lazima tu aanzishe matatizo..hence kuepuka hizi drama ni bora kuanza mechi bila bila.
 
Ndio muache kuwapopoa mawe single mothers humu, wanaume baadhi wana tabia ngumu mno!

Hiyo story hadi huruma. Jamaa alimuharibia mwanzo, akamuharibia tena! Mtu kama huyo ukipata chance unamlisha sumu tu akafie mbele!
Hapo kwenye sumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utasikia happy birthday baba mtoto wangu, Mungu akutunze wewe ndo ulinifanya niitwe mama kwa mara ya kwanza.
Single mother mna mambo [emoji3]

Tena kwa mbwembwe kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hapo mtoto alikataliwa na matusi juu[emoji119][emoji119] ila wanawake jamani sijui tunataka nn kwenye haya maisha loooh[emoji174]
 
mjinga huyo anaoa single mama wakati anajua Hao watu wapo kundi LA mental disorder
kwa kifupi Hao ni emotional damage mioyo ishatoboka
 
Juzi Kati nikamsomesha mdada akakubali nimlee,badae nikamuuliza unamtoto akasema Eee mmja..baba yupo akajibu Eee moroo.Nikamwambia kuoa sahau tuwe tunapeana Raha tu! Kwa kweli single Maza kuoa sawa na kuvaa koti lenye mabomu.
 
Mbona kuna jamii ni Maternal wanatumia majina ya mama zao au mjomba.??

Mimi mtu asiyelea mtoto, Hakuna haja ya mwanangu kutumia jina lake..Mambo yasiwe mengi!!!!

Ni Roho mbaya tu ya badhi ya wanaume, wewe unatelekeza damu yako wakati una uwezo wa kumlea mtoto.Unamwachia mzigo wote mama yake tu?
Utakaza na baada ya miaka mingi dogo anafanya harakati za kumtatuta Baba yake na wanatengeneza bond nzuri tu, sasa sijui utakunywa simu ufe..
 
Hapo kwenye sumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walahi mi simuachi, ukute dada wa watu alipambana kimya kimya akijua atamshinda aendelee na ndoa yake.

Sitetei dada alichofanya lakini pengine hakuwa na nia mbaya, she was protective and it came to cost her, poor thing!
 
Back
Top Bottom