makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Huyo dada yako ni kiumbe mpumbavu.
Niwie radhi kwa hilo, ila uhalisia ni mpumbavu mnooo
Niwie radhi kwa hilo, ila uhalisia ni mpumbavu mnooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madam kumbe wewe single mum...Mm nakupenda kama ulivyo...japo usiwe kama huyo mwezanko....unaniambia mapema kama baba mtoto anakusmbua alafu unaniachia kama mume na deal nae kimya kimya .Si tulikubaliana msitufokee mtuambie taratibu jaman..
Mnatufokea sana [emoji16]punguzen sauti sasa
PoleniKiufupi single moms kazi tunayo.......
kwani kuwa single maza ni dhambi😁😁yap Niko na vijana wangu wawili matata sana🥰🥰ni washkaji zangu kinouma😍ukitukuta tumevaa sports wear unawezajua sio mama yao😁😁ila wakizinguaga makonzi yanawahusugi 🤣🤣Madam kumbe wewe single mum...Mm nakupenda kama ulivyo...japo usiwe kama huyo mwezanko....unaniambia mapema kama baba mtoto anakusmbua alafu unaniachia kama mume na deal nae kimya kimya .
Mbona mleta mada alishasema wazi kuwa, tangu mwanzo mume mpya alishampiga marufuku kuwa karibu na yule mwanaume aliyemzalisha, sasa mwanaume aliyemzalisha alipoibuka upya, ikabidi mambo yote yawe ya siri kuepusha ugomvi mpya.I’m a single mama…kitu alichokwama mwenzetu ni kuruhusu mawasiliano ya yeye na mzazi mwenzie moja kwa moja.
kuna wakati hata sisi single moms tunazingua big time😌😌.kulingana na huu uzi..single mom ndie aliyeanza kumkaribisha shetani.unatolea wapi ujasiri wa kwenda ustawi wa jamii bila kwenda na mumeo?huo ni upumbavu mzito na hakuna mwanaume yeyote mwenye kupenda Amani ya moyo angevumilia💔💔
Hivi unakuwaje na mume kabisa ambae amekukubali wewe na mtoto wako wote kuwalea halafu eti from nowhere ***** unakuja kuwasiliana na mzazi mwenzio just namna hiyo😳
Tatizo lilianzia hapo kwenye siri.hana wa kumlaumu.kwani alıshindwa nini kumuweka Wazi mume wake kuwa mzazi mwenzie anamsumbua?Mbona mleta mada alishasema wazi kuwa, tangu mwanzo mume mpya alishampiga marufuku kuwa karibu na yule mwanaume aliyemzalisha, sasa mwanaume aliyemzalisha alipoibuka upya, ikabidi mambo yote yawe ya siri kuepusha ugomvi mpya.
Mimi nina mtu mmoja namjua ni single mother mwanaume alimwambia achague mawili.Huwezi kuzuia baba wa mtoto asiwe karibu na mtoto wake, hata kama hatoi matunzo.
Huwezi kuzuia mtoto anayejitambua kuwa karibu na baba yake mzazi.
Huwezi kuzuia wazazi wenza kuwasiliana ikiwa kuna uhitaji wa malezi ya mtoto.
Ushirikiano gani??tegemea ushiriki wa yule mwingine (hata akiwa si mshiriki rafiki
Dahkwani kuwa single maza ni dhambi😁😁yap Niko na vijana wangu wawili matata sana🥰🥰ni washkaji zangu kinouma😍ukitukuta tumevaa sports wear unawezajua sio mama yao😁😁ila wakizinguaga makonzi yanawahusugi 🤣🤣
Father of my boys tuko nae vizuri sana na huwa ninamuombea kila kukicha(sijui kama analijua hili)lakini nikiwa na ishu ya watoto basi mtu wa kwanza kuwasiliana nae ni mke wa baba watoto wangu then yeye ampatie taarifa mumewe ila ikitokea ishu ya kufanya maamuzi juu ya vijana wetu basi moja kwa moja nampigia baba mtu then nampigia mkewe kumpa taarifa kuwa niliongea na mumewe kuhusu watoto na tumefikia sehemu fulani inakuwa imeisha hiyo.😍
Ilinichukua miaka kama sio sita au saba kutengeneza huu upendo uliopo sasa lakini mwanzo tulikuwa maji na mafuta uadui ulitawala so ikabidi upande mmoja uteseke kwa faida ya watoto na huo upande ulikuwa ni mimi😁😁
Kuwa single mama sio shida😁shida unakuja kuwa single mama halafu hujielewi😊😊