Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

Huyo dada yako ni kiumbe mpumbavu.

Niwie radhi kwa hilo, ila uhalisia ni mpumbavu mnooo
 
Kuna baadhi ya sheria lazima zitazamwe upya kuhusu maisha ya mtoto hasa kwa mzazi aliemkataa mtoto kwa kipindi flani na kurejea baadae, ustawi wa jamii sheria zao haziko sawa yani balanced kwa wazazi wawili waliotofautiana kuhusu kulea mtoto.
Kuna wanaume huaribu maisha ya mwanamke kwa kutaka kupata mtoto ila sio kuoa huku akiwa anamlaghai mwanamke kuwa atamuoa kumbe anamdanganya anachokitaka ni yeye kuwa na mtoto basi haijalishi atamlea au atamkimbia, sheria zitizamwe upya.
 
.... kwanza kaa ukijua single mothers wote ( kasoro wajane tu) ni janga la kitaifa kwa wanaume. Hata kama baba mtoto alipata uchizi na yupo Milembe Dodoma, Muweke ndani nyumba nzuri kila kitu muwekee na mapenzi juu ya kitamthiliya na kitandani unapiga mkia vizuri bado atafurukuta hadi siku moja akamuone walau ampe hata busu tu.! wape dhamana kwa your own risk.!!!!
 
Si tulikubaliana msitufokee mtuambie taratibu jaman..

Mnatufokea sana [emoji16]punguzen sauti sasa
Madam kumbe wewe single mum...Mm nakupenda kama ulivyo...japo usiwe kama huyo mwezanko....unaniambia mapema kama baba mtoto anakusmbua alafu unaniachia kama mume na deal nae kimya kimya .
 
SINGLE MOTHER HAWANA AKILI (Akili zao zilishaishia labour). Vijana kuweni makini mnapochagua mwanamke wa kuoa lasivyo utatengeneza migogoro ya milele katika kizazi na familia yako. Kiufupi kuoa single mother ni agano ambalo linaweza kujirudia kwa kizazi chako endapo kama hutoamua kuvunja agano hilo madhabauni. Kama kuna mtu kaoa single mother hakikisha unatubu madhabauni Mungu akusamehe na kulinda kizazi chako kinachofuata. Kama ni single mother umeolewa au hujaolewa mwombee mwanao hata wewe mwenyewe pia tubu hiyo dhambi.
 
Nimesoma comments zoote hadi hapa.
By the ways..... kuwa singo mama sio jinai, bali mwanamke akisha kua singo mam kisha akapata mwanaume mwingine akamuoa..... hapa anatakiwa kuplay very smart, kwasababu anapaswa akumbuke kwamba kitendo cha kukutana na mwanaume akiwa singo mama tayari ni dosari ana dishonest ama doa la kutoutunza usichna wake.
Kimsingi, hakuna mwanaume ambae yupo tayari kuona mke wake akiwasiliana na mwanaume mwingine aliekuaga akimkaza...🤨
 
Madam kumbe wewe single mum...Mm nakupenda kama ulivyo...japo usiwe kama huyo mwezanko....unaniambia mapema kama baba mtoto anakusmbua alafu unaniachia kama mume na deal nae kimya kimya .
kwani kuwa single maza ni dhambi😁😁yap Niko na vijana wangu wawili matata sana🥰🥰ni washkaji zangu kinouma😍ukitukuta tumevaa sports wear unawezajua sio mama yao😁😁ila wakizinguaga makonzi yanawahusugi 🤣🤣

Father of my boys tuko nae vizuri sana na huwa ninamuombea kila kukicha(sijui kama analijua hili)lakini nikiwa na ishu ya watoto basi mtu wa kwanza kuwasiliana nae ni mke wa baba watoto wangu then yeye ampatie taarifa mumewe ila ikitokea ishu ya kufanya maamuzi juu ya vijana wetu basi moja kwa moja nampigia baba mtu then nampigia mkewe kumpa taarifa kuwa niliongea na mumewe kuhusu watoto na tumefikia sehemu fulani inakuwa imeisha hiyo.😍

Ilinichukua miaka kama sio sita au saba kutengeneza huu upendo uliopo sasa lakini mwanzo tulikuwa maji na mafuta uadui ulitawala so ikabidi upande mmoja uteseke kwa faida ya watoto na huo upande ulikuwa ni mimi😁😁

Kuwa single mama sio shida😁shida unakuja kuwa single mama halafu hujielewi😊😊
 
I’m a single mama…kitu alichokwama mwenzetu ni kuruhusu mawasiliano ya yeye na mzazi mwenzie moja kwa moja.

kuna wakati hata sisi single moms tunazingua big time😌😌.kulingana na huu uzi..single mom ndie aliyeanza kumkaribisha shetani.unatolea wapi ujasiri wa kwenda ustawi wa jamii bila kwenda na mumeo?huo ni upumbavu mzito na hakuna mwanaume yeyote mwenye kupenda Amani ya moyo angevumilia💔💔

Hivi unakuwaje na mume kabisa ambae amekukubali wewe na mtoto wako wote kuwalea halafu eti from nowhere ***** unakuja kuwasiliana na mzazi mwenzio just namna hiyo😳
Mbona mleta mada alishasema wazi kuwa, tangu mwanzo mume mpya alishampiga marufuku kuwa karibu na yule mwanaume aliyemzalisha, sasa mwanaume aliyemzalisha alipoibuka upya, ikabidi mambo yote yawe ya siri kuepusha ugomvi mpya.
 
Kusema Wazazi wawili wasifanye mawasiliano -HAIWEZEKANI.

Changamoto ilianzia hapa.

Ukioa/olewa na mwenye watoto, tegemea ushiriki wa yule mwingine (hata akiwa si mshiriki rafiki, hakuna jinsi, ili mradi mko as a united font kuendana na harakati atakazoleta na penye kubidi, afanye mawasiliano nanyi kupitia mwanaume mwenzie au mwanamke mwenzie kati yenu, ili akose uziada mbali na habari za kimalezi).
 
Mbona mleta mada alishasema wazi kuwa, tangu mwanzo mume mpya alishampiga marufuku kuwa karibu na yule mwanaume aliyemzalisha, sasa mwanaume aliyemzalisha alipoibuka upya, ikabidi mambo yote yawe ya siri kuepusha ugomvi mpya.
Tatizo lilianzia hapo kwenye siri.hana wa kumlaumu.kwani alıshindwa nini kumuweka Wazi mume wake kuwa mzazi mwenzie anamsumbua?
 
Huwezi kuzuia baba wa mtoto asiwe karibu na mtoto wake, hata kama hatoi matunzo.

Huwezi kuzuia mtoto anayejitambua kuwa karibu na baba yake mzazi.

Huwezi kuzuia wazazi wenza kuwasiliana ikiwa kuna uhitaji wa malezi ya mtoto.
Mimi nina mtu mmoja namjua ni single mother mwanaume alimwambia achague mawili.
Mtoto akakae kwa Baba yake na hakuna mawasiliano kati ya yeye na Baba au mtoto waishi nao ila hakuna mawasiliano kati ya Baba na na yeye kwa sababu mtoto ataishi kama wengine akikuwa atakwenda kwa Baba yake mwenyewe.
Akampa onyo kuwa wakiwasiliana akajua basi mwisho wao ndo hapo.

Dada yule akabaki njia panda tuu.
 
Uoga ndo umemponza dada yako....
Binafsi ningempambanisha na baba mlezi.
Ningemwambia mume wangu uhalisia uliopo na ili kuepusha kona kona tungepanga na mtoa mbegu tukutane, nikifika baba mlezi anakuja nainuka nawaacha wayajenge.
Kama ana lolote inambidi apate ridhaa ya mlezi aliyechukua nafasi yake wakati anatanga tanga
 
kwani kuwa single maza ni dhambi😁😁yap Niko na vijana wangu wawili matata sana🥰🥰ni washkaji zangu kinouma😍ukitukuta tumevaa sports wear unawezajua sio mama yao😁😁ila wakizinguaga makonzi yanawahusugi 🤣🤣

Father of my boys tuko nae vizuri sana na huwa ninamuombea kila kukicha(sijui kama analijua hili)lakini nikiwa na ishu ya watoto basi mtu wa kwanza kuwasiliana nae ni mke wa baba watoto wangu then yeye ampatie taarifa mumewe ila ikitokea ishu ya kufanya maamuzi juu ya vijana wetu basi moja kwa moja nampigia baba mtu then nampigia mkewe kumpa taarifa kuwa niliongea na mumewe kuhusu watoto na tumefikia sehemu fulani inakuwa imeisha hiyo.😍

Ilinichukua miaka kama sio sita au saba kutengeneza huu upendo uliopo sasa lakini mwanzo tulikuwa maji na mafuta uadui ulitawala so ikabidi upande mmoja uteseke kwa faida ya watoto na huo upande ulikuwa ni mimi😁😁

Kuwa single mama sio shida😁shida unakuja kuwa single mama halafu hujielewi😊😊
Dah
 
Back
Top Bottom