Single mothers hawajali maneno yenu

Single mothers hawajali maneno yenu

ukijisamehe mwenyewe inatosha mkuu,,nilikusalute sana ila umeni drop sana
Sasa Msela wangu nakuomba msamaha hadharani bado Unanikanyagia??? Msela huwa haifadhi grudges rohon
 
Kama umeamua mwenyewe kuolewa na mwehu, kosa la nani?
Aku! Mi nina bonge la mume dunia nzima hakuna. Nasemea hao wanoona ndoa ni taji la ushindi. Kuna mengi ndani humo zaidi ya shela
 
Unajua hata kama huoni kuwa masingle mothers wanafaida basi. Ila wao kwako wanafaida nyingi.

Kuzaa nakupata mtoto ni hazina ya mbeleni na sasa . Kuitwa mama fulani ni raha sana . Mwanamke mbwahuyu hafai kazaa njee ,ila yeye anafuraha anawatoto na wanampa kampani akija home .

Mtoto wake anampa kampani hadi azeeke . Wewe unaye mdhihaki huna wakukupa kampani uko kama mwehu ndani kwako unakandia wamama ambao wao wanakampani, raha zakuona watoto wao wamekuwa , na wananamsaidia mama yao. Shughuli za ndani .

MAisha yao ni yanasonga hadi mama anaozea mwanae na anapata wajukuu. Umeona so maneno ya wanaume nao sema wanawake masingle mama kuwa ni wehu sio wehu. Wanahazina endeeleni kutelekeza wana wenu na kuoa mama mazao wakambo . .

Wao wanakuwa wanasoma wanaendea mbele. Kama CCM
Sio kweli kwanza kama unakiwanja karibu nakuzurumu pia huo ni mkosi hujioni kama unamkosi hata maneno yako yamejaa laana tupu
 
Back
Top Bottom