Single mothers hawajali maneno yenu

Kwamba vyema, muhimu na lazima kukwepa kuzaa mtoto/watoto kabla ya muda muafaka,
walio zaa kwenye ndoa kisha kutengana, na kubaki kulea watoto nao wanaingia kwenye kundi la single maza au?
kwa maelezo yako ni kama unaelewa single maza ni walio zaa kabla ya ndoa tu
Hili ni swala mtambuka linalotokana au kusababishwa na wote iwe kabla na pengine hata kupitia ndoa zinavonjika
Mwanamke ni muhanga tu kwakuwa anaangukiwa na jukumu la kulea watoto
 
Kundi kubwa la singo maza ni hili la kabla ya kuolewa.
 
Hapana single mothers ni wale ambao hakuolewa na wale walioachwa ni watalakwa tu na ni mke wa mtu wafulani hata mpaka afe
 
VIpi wewe ni single maza? No offence intended
 
Hao watoto kama ni wa kiume wakianza kuvaa shanga kama mama yao usije kutulilia
 
Mtoto anabidi kulelewa na Baba na Mama .

Ila ikotokea umekosa mwanaume baada umri kusonga weweza kuzaa.

Mimi sijaoa na sina mtoto Ila ningependa ikifika muda nioe mwanamke ambaye hana mtoto hii ingenipa Sana utulivu .Kiakili ,kihisia na kimwili.


So Mimi siwachukii single mother Ila pia sifurahi kuona mwanamke Ana I shi mediocre life (Maisha ya kishenzi) in this entity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…