Single mothers hawajali maneno yenu

🀣🀣🀣🀣🀣 mnashida sana humu mnastress sana EL msomi nini mtu wa mtu sina watoto naye because hajanioa nimpe k vizuri tuzae bt anawatoto nje ya urafiki


Ei means Emotional intelligence

Then you can't attract what you hate unaitwa wanaume Mbwa then you keep blaming that you a single mom

How comes Mbwa akuoe you will end up blaming Men .
 
Ei means Emotional intelligence

Then you can't attract what you hate unaitwa wanaume Mbwa then you keep blaming that you a single mom

How comes Mbwa akuoe you will end up blaming Men .
Ndio kwani wanavyo waita single mothers ni malaya na matusi kibao halafu wanaenda kuwapa mimba tena
 
Kwa hiyo mitusi wala hakustahili kuitwa "MKUU"
Me mwenyewe ameniporomoshea mitusi kisa tu nimemuuliza kama hao watoto amezaa na baba mmoja au kila mtoto na babaake, πŸ€£πŸ˜…

So anagawa dozi kwa idadi!
 
 
Nilitaka ni comment mkuki mmoja wa moyo bahati yako kuna singo maza nammezea mate yuko jf nisije kuharibu mawindo.
Bora umeamua kuwa baba wa kambo hayo ndo maamuz mazuri
 
Hatimaye ma single mother wameoandisha Uzi wa kufarijiana...ila mambo bado sana
 
Fainali uzeeni at the end single mama ula matunda ya watoto wao tofauti na single baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…