Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kwahyo malipo yako ni mbususu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi ilikuwa ni chai, sema imepikwa kinamna! Ndo madhara ya kukurupuka asubuhi na mapema na kuingia jf!!Mama mtu hataki kujiuza ila kapokea pesa ya mtoto wake wa miaka nane kuingiliwa.
Haka kashkaji ni miyeyusho sana.
ChapatiKiufupi ilikuwa ni chai, sema imepikwa kinamna! Ndo madhara ya kukurupuka asubuhi na mapema na kuingia jf!!
Tumshukuru sana rais
Watu Wana roho ya ukatili sanaKabaka mtoto wa miaka 8 jamani dogo si kaumia sana uwiiii sinahata cha kutafakari 😔😔🙁
kaaa kwa kutulia ni kweli alichoongea hapa mwishoni kua mnaboa....hv unamtia mimba mimba mwanamke unamuacha unajua changamoto anazopitia? tena wanaume wengi wa mijini ndio tabia zenu hizi za kipuuziOyaaaa acha kujifanya unawajua Sana wanawake,tomber sepa zako.Utakuja kushukuru.
Really?SABABU ZANGU NI HIZI.
1. Single girls wengi ni Mama wa Marehemu,Wengi hawana watoto ila wameua watoto wengi kwa abortion.Kama ameweza kuua kiumbe chake tumboni sembuse wewe Mtoto wa mama mkwe.Kuthibitisha hili angalia uliposoma chuo ni wanafunzi wangapi walioana kichuo na kuishi kama mume na mke ,Ni mimba ngapi walizitoa alafu baada ya chuo kila mmoja akashika njia yake.
2. Single girls wengi ni mabingwa wa kutumia P2.Yaani vizazi vyao vimejaa P2.Ukimuoa huyo kuja kupata nae Mtoto ni lazima MWAMPOSA afunge miezi 9 bila kula wala kunywa.Kizazi kilishalegea kama nyavu za ndondo Cup.Bed rest ni January to September.
3. Single girls asilimia kubwa wana wanaume wengi sana.Yaani wapigaji ni wengi.Ukioa single girl utachapiwa na wengi sana.Wote waliowahi kumpa mimba na kuzichomoa wataendelea kujipigia.
4. Asilimia kubwa ya single girls ni ma-slay queen.Hakuna lolote analojua kwenye maisha.Wao bata j3-j3.
NAWASHAURI VIJANA OENI MA SINGLE MOTHER.WANAJIELEWA KATIKA MAISHA NA UTAFUTAJI.
Nchi ngumu hiiHakuna mahusiano magumu kama ya single mother na kijana ambae hana mtoto hata mmoja
Single mother huwa wanampima mtu kwa mambo madogo madogo na ya kipuuzi saana (ni wajinga)
Unastahili kuitwa SINGLE MASTER.Hakuna mahusiano magumu kama ya single mother na kijana ambae hana mtoto hata mmoja
Single mother huwa wanampima mtu kwa mambo madogo madogo na ya kipuuzi saana (ni wajinga)
Nilikuwa na single mother wa kwanza huyu alikuwa ananirundikia majukumu ya mtoto wake kila siku nilichokuwa kinanikera ni namna ya uombaji wake mfano
Single Mother ipo kwenye tabaka tofauti, ila NUKUU ndo chanzo cha haya yoteHakuna mahusiano magumu kama ya single mother na kijana ambae hana mtoto hata mmoja
Single mother huwa wanampima mtu kwa mambo madogo madogo na ya kipuuzi saana (ni wajinga)
Nilikuwa na single mother wa kwanza huyu alikuwa ananirundikia majukumu ya mtoto wake kila siku nilichokuwa kinanikera ni namna ya uombaji wake mfano
"Kama unanipenda mimi na mwanangu tufanyie kitu fulani..." hilo neno KAMA ndio lilikuwa linanikera
Kingine kila siku tukionana alikuwa lazima aniombe hela za matunzo ya mtoto
Huyo end of the day nikaja kumfumania kamvusha rafiki yangu ( naombeni mnisamehe na mimi pia alikuwa ananivushia pale pale kwao namkaza )
Single mother wa pili
Huyu yeye alikuwa na degree kabisa ila alikuwa hajielewi hata kidogo, kwanza kabisa mtoto alikuwa hamjui baba halisi wa mtoto
Huyu hakuwai kumkataa mwanaume yoyote yule baada ya kujifungua
Alichokuwa ananikera ni tabia yake ya kila nikimuhitaji lazima atoe sababu ambayo lazima amuhusishe mtoto kama "mtoto hajalala" au "mtoto anaumwa"
Alikuwa hataki niseme mtoto wako alikuwa anataka niseme mtoto wangu au mtoto wetu anasahau ya kuwa mtoto akifanya jambo la kijinga wanaume huwa tunasema "mama fulani njoo uone mtoto wako" ila mtoto akifanya jambo jema wanaume tunatumia neno "mwanangu"
End of the day aliniacha kisa kauli hizo (Mnisamehe pia kwa kuachwa na single mother)
Single mother wa 3
Huyu alikuwa na miaka 28 alafu ana watoto 3 mimi aliniambia ana mtoto mmoja nikawa nikimuemelea vitu vya mtoto mmoja vya mwezi vinaisha ndani ya wiki moja
Huyu baada ya drama nyingi ni visirani most alikuwa ananiona kama muhuni tu aliamua kurudi kwa mmoja ya watu aliozaa nao
Single mother wa 4 huyu alikuwa kicheche alafu alikuwa kila akipata bwana lazima kwao wajue bad enough mama yake alikuwa anapenda kupewa na wakwe zake sasa akawa ananilinganisha mm na mabwana waliopita wa mwanae
Hapa palinishinda sababu ilitakiwa mimi mtu mmoja nibebe mazuri yote ya walionitangulia yani ilitakiwa nipeleke ukweni mkaa,unga,mchele,mafuta na vitu vingine ili tu mama mkwe anikubali
Huyu nilimuacha sababu alikuwa ana side na mama yake nihudumie familia nzima kisa wengine waliweza nikatoka nduki
Single wa 5 huyu nilimtafutia kazi kulekule kazini akaenda kumpa rafiki yangu mbususu (huyu rafiki yangu hakujua kama huyo binti ni mpenzi wangu
Nimeingia kwenye mahusiano na single mother 11 ni mmoja tu ndio alikuwa perfectly huyo yeye Tulishindana kisa dini tu na kama nisingerudiana na mpenzi wangu wa siku nyingi DEAR KATUNGE basi ningejuta kumpoteza yule single mother japo alienda kuolewa na taira
Note
Sina uandishi mzuri
Ushauri wangu kijana ambae hauna mtoto wala matatizo yoyote usioe single mother na kwenu single mother msikate tamaa tafuteni hela muishi na Viben ten au muolewe na wagane
Now day nimetulia na dear KATUNGE tuna mtoto mmoja mzuri saana