Mfuasiwake
Member
- May 19, 2022
- 13
- 21
Methali 15:4 BHNHapa nazungumzia hawa single mother's wa mwendokasi ambao hawajawai kuwa na ndoa na waliowazalisha wapo
Hawa single mother's wa mwendokasi most wao ndio waliachwa na kama wao ndio waliwaacha waliowazalisha basi waliwaacha kwa sababu za kijinga
Mwanaume yoyote yule hawezi kumuacha mwanamke mwenye akili,Sasa kama mwanaume mwenzio kamzalisha alafu akamiacha
Je kwanini alimuacha ?
Wewe una akili kuliko aliyemzalisha ?
Mwanaume kamili hawezi kuchukua mtumba aliyakuwa kitu kipya kipo
Makapukula ndio wanaongoza kutoka na single mother kwa sababu ya kufata maslahi na si upendo
Mwanaume asiye na mapungufu yoyote hasa ya kiuchumi,kiafya,kiumbo hawezi kuoa single mother
Ukiona mwanaume kaoa single mother jua HAJIAMINI na TAHIRA
Kuoa single mother ni kusababisha migogoro mikubwa baadae hasa kwenye urithi
na swala la urithi wa mali na umiliki mali. Hebu wazia umekutana na mwanamke ana watoto labda wawili halafu mkaanza kuyajenga pamoja. Baada ya miaka kadhaa mtoto akikua na kupata uelewa kuwa wewe si baba yake Utakubari awe MRITHI WA MALI ZAKO ??
Ushauri
Single mother Tafuteni hela angalau mpate mario maana mwanaume mwenye kila kitu hawezi kukuoa
Acheni Gubu kuolewa tu ukiwa single mother ni msaada tosha
Msibague wanaume ukipata mlevi sawa ukipata mfupi sawa ukipata wa dini tofauti na yako single mother badilisha haraka dini uolewe kwani nafasi zenu ni Finyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo.
Waefeso 4:29-32 BHN
Maneno mabaya hata yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya kufaa na ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, ili yawaneemeshe wasikilizaji wenu
Methali 24:17 BHN
Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake.
Yakobo 4:11-12 BHN
Ndugu, msilaumiane nyinyi kwa nyinyi. Anayemlaumu ndugu yake na kumhukumu, huyo huilaumu na kuihukumu sheria. Kama ukiihukumu sheria, basi, wewe huitii sheria, bali waihukumu. Mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. Ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. Basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?
Waefeso 4:31-32 BHN
Basi, achaneni na uhasama, chuki, hasira, kelele na matusi. Acheni kila uovu! Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo.
Methali 22:6 BHN
Mfunze mtoto namna ya kuishi vizuri, naye hatasahau njia hiyo hata uzeeni.