Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

Kwaiyo huo uwezo mzazi mwenzake hakuuoana mpaka wewe ndio ukauone [emoji23][emoji23][emoji23] wengi baada ya kuachwa huwa wanaigiza tu tabia then ukimuweka ndani unaona sura halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha mwanamke akitofautiana na mwanaume mmoja basi hafai kwa wanaume wote!!!

Kiuhalisia mambo hayapo hivyo; usipoelewana naye wewe kuna ambao watamuelewa. Tunaita chemistry.

Usilazimishe wote wasielewane naye.
 
Kwaiyo huo uwezo mzazi mwenzake hakuuoana mpaka wewe ndio ukauone [emoji23][emoji23][emoji23] wengi baada ya kuachwa huwa wanaigiza tu tabia then ukimuweka ndani unaona sura halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Na walioolewa na kuachwa je? Kuna ndugu yangu anataka kuoa mwanamke mwenye watoto wa 3 kaachana na mumewe. Familia inampinga sana lakini kakomaa tu. Huyo dada alikuwa anasubiria mgao wa mali mahakamani lakini kapigwa chini ,mali kaambiwa ni za watoto.
 
Kwanini aachwe ?
Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke mwenye akili na anaejiheshimu?

Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine ni wengi huwa wanalenga kuvunja ndoa za watu.

Yani akiwa mchepuko wako atakuroga Mwanaume ili mfarakane na mkeo hadi muachane ili yeye umpe kipaombele.
 
Kauli kama "kipimo cha uanaume",, "ukomavu wa akili", "ukomavu wa hisia" na takataka nyingine zinazofanana na hizo..

Hizi ndio zinafanya vijana waishie kufa kwa stress wakiaminishwa wanachofanya ndio uanaume...

Nini faida kufa na stress,,nani atakupongeza kisa umekuwa mkomavu wa akili,,, Yote hayo yafaa nini ilihali nafsi yako haina amani...

Ukioa Singo Maza na ukaona maisha yanaenda fresh, hapo it's Ok , Enjoy the Life.. and vice versa

Mwanaume zingatia sana furaha yako,, nasisitiza hili.... Kama single maza anakupa hio furaha.. Continue...

Mwisho niseme haipendezi kuimba huku unatafuna karanga, kujaribu sumu kwa kuilamba au kujaribu makali ya panga kwa shingo...
 
Nilidhani wanaonewa au wanasingiziwa lakini ukweli ni kwamba %kubwa single moms hawana upendo wa dhati, nina uhakika na hilo. Wanatafuta msaada wa malezi ya watoto tu hakuna lingine

Hi comment iwe punned pale juu

Nanukuu kauli ya yule dada( sitaman hata kuishi nae na simpendi) ila now wanakaa wote[emoji28]
 
Kauli kama "kipimo cha uanaume",, "ukomavu wa akili", "ukomavu wa hisia" na takataka nyingine zinazofanana na hizo..

Hizi ndio zinafanya vijana waishie kufa kwa stress wakiaminishwa wanachofanya ndio uanaume...

Nini faida kufa na stress,,nani atakupongeza kisa umekuwa mkomavu wa akili,,, Yote hayo yafaa nini ilihali nafsi yako haina amani...

Ukioa Singo Maza na ukaona maisha yanaenda fresh, hapo it's Ok , Enjoy the Life.. and vice versa

Mwanaume zingatia sana furaha yako,, nasisitiza hili.... Kama single maza anakupa hio furaha.. Continue...

Mwisho niseme haipendezi kuimba huku unatafuna karanga, kujaribu sumu kwa kuilamba au kujaribu makali ya panga kwa shingo...

Naunga mkono hoja!
 
Kama kuna mtu alikua anakwepa nyuzi hizi ni mimi!
Kwakweli ni tofauti
Na ukitaka kujua radha ya ngoma ingia ucheze
Nliwah kujisemea mwenyewe kua technic ya kumuingiza nyumban nmpe mimba afu iende taarifa na sio wazo kama namtaka
Yan nlishaamua hivyo
Ila baadae nlianza kuona mambo kama hayako okey
Ukitaka kuwala hawa wadada wenye watoto basi mpende tu mwanae
Utaamua wewe tu
Wengi wao hawana upendo hata 100! Yalinikuta ndugu zangu
Bora nionekane nna roho mbaya ila single mother’s hapana staki
 
Hata mimi napenda singo maza. Tunatiana huku tunapeana akili za maisha. Sio vitoto kinataka kunichatisha 24/7
 
Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag.

Sababu za wazi baadhi ni :
1. Single mothers wengi wamefikia miaka 28 umri unaofaa kwa mwanamke kufikiri maisha zaid kuliko ngono na mapenz.

Kifup tu wana akili zinazowajibika.
umri chini ya hapo hasa dada wasio na wajib wana wenge sana na mambo mengi kama wapiga ramli na ndoto hewa zisizotekelezeka. mf binti wa kivule,ana akili timam lakin anajisemea kwa dhat kuwa ataolewa na justin bierber kisa wigi limemkubali. wanaamin katika uzuri.

Single mothers wameshajipa majukum na akili za kiuwajibikaji. ni asset. sio liability.
tusisahau wanaume kamili huamini katika akili za kujitambua linapokuja suala la kuoa/kudum katika mapenz.

Maana ni wanawake wachache mno ambao wako chini ya mstari wa uzuri unaofaa.

2. Single mothers wanajua upendo kupitia mtoto wake. hivyo ni rahis kutoa upendo kama uwekezaji wa kupata upendo.

TATIZO:
Hofu ya wanaume dhidi ya x wa mke ni kubwa mno. kwa sabab mwanaume anaweza kuvumilia kila kitu isipokuwa kushare mke isipokuwa yule tu aliyejaliwa tamaa nyingi na akili kidogo. sio ubinafs ni nature.

NINI KIFANYIKE:
a)Mama usiendekeze mahusiano na baba mtoto kupitiliza kisa mtoto. mf kukupigia sim ovyo ovyo had usiku wa manane kisa uko na mwanae.

Pia usikubali mialiko ya ex hata ya ibadani.
hata misiba tuma mtoto tu na ndugu yako kutimiza haja ya ukoo wa uzao wa ex.
b) Mume tunza sana mtoto wa mke mwenzio kwa upendo wa wazi, mpe uhakika wa leo na kesho. jana haimsumbui sana mkeo. anaweza kupotezea mazma ex wake. mf kama kuna wa kumpa zawad ndan anza na mtoto wa ex kabla ya mke. ikibid hata mali toa kabla. fanya uwekezaj wa TRUST!

Mme chunga sana kauli zako km .....dam ya wapi hii iko hivi. Mke chunga sana kauli zako kama ....baba yake mzazi angekuwepo .....

Nihitimishe kuwa single mothers mnapendwa sana na kila mwanaume mwenye tafakuri nzuri. ni juu yenu sasa kumjua mwanaume hata kama unammudu kivip. kuna mengine ni ya asili hata limbwata haiyapangui.

Hata mimi isingekuwa nimeshapitisha umri wa kuoa ningejikita kwa single mother. wengi wanajitambua na wana malengo.
Wanaume:::::Wanawake ambao awajaolewa watafute mabwana waolewe............ Wanawake:::::::si lazima tuolewe, si lazima tuolewe
 
Mwanamke umedharaulika umepata wa kukuheshimisha unarudi tena kwa aliyekudharau akumwagie...Nife aje atombع kaburi langu.Asante mume wangu kwa kuniheshimisha.SINGLE MOTHERS TATIZO MSIMAMO
Umenena kweli. Single mother wengi msimamo umewashinda. Wapo very cheap sijui tatizo ni nini.?
 
Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag.

Sababu za wazi baadhi ni :
1. Single mothers wengi wamefikia miaka 28 umri unaofaa kwa mwanamke kufikiri maisha zaid kuliko ngono na mapenz.

Kifup tu wana akili zinazowajibika.
umri chini ya hapo hasa dada wasio na wajib wana wenge sana na mambo mengi kama wapiga ramli na ndoto hewa zisizotekelezeka. mf binti wa kivule,ana akili timam lakin anajisemea kwa dhat kuwa ataolewa na justin bierber kisa wigi limemkubali. wanaamin katika uzuri.

Single mothers wameshajipa majukum na akili za kiuwajibikaji. ni asset. sio liability.
tusisahau wanaume kamili huamini katika akili za kujitambua linapokuja suala la kuoa/kudum katika mapenz.

Maana ni wanawake wachache mno ambao wako chini ya mstari wa uzuri unaofaa.

2. Single mothers wanajua upendo kupitia mtoto wake. hivyo ni rahis kutoa upendo kama uwekezaji wa kupata upendo.

TATIZO:
Hofu ya wanaume dhidi ya x wa mke ni kubwa mno. kwa sabab mwanaume anaweza kuvumilia kila kitu isipokuwa kushare mke isipokuwa yule tu aliyejaliwa tamaa nyingi na akili kidogo. sio ubinafs ni nature.

NINI KIFANYIKE:
a)Mama usiendekeze mahusiano na baba mtoto kupitiliza kisa mtoto. mf kukupigia sim ovyo ovyo had usiku wa manane kisa uko na mwanae.

Pia usikubali mialiko ya ex hata ya ibadani.
hata misiba tuma mtoto tu na ndugu yako kutimiza haja ya ukoo wa uzao wa ex.
b) Mume tunza sana mtoto wa mke mwenzio kwa upendo wa wazi, mpe uhakika wa leo na kesho. jana haimsumbui sana mkeo. anaweza kupotezea mazma ex wake. mf kama kuna wa kumpa zawad ndan anza na mtoto wa ex kabla ya mke. ikibid hata mali toa kabla. fanya uwekezaj wa TRUST!

Mme chunga sana kauli zako km .....dam ya wapi hii iko hivi. Mke chunga sana kauli zako kama ....baba yake mzazi angekuwepo .....

Nihitimishe kuwa single mothers mnapendwa sana na kila mwanaume mwenye tafakuri nzuri. ni juu yenu sasa kumjua mwanaume hata kama unammudu kivip. kuna mengine ni ya asili hata limbwata haiyapangui.

Hata mimi isingekuwa nimeshapitisha umri wa kuoa ningejikita kwa single mother. wengi wanajitambua na wana malengo.
Mwaka sasa bado uzi unatrend tu
 
Back
Top Bottom