Single mothers nawaibia siri nyingine

Ukweli ni kwamba, wanawake wanaoliwa kirahisi mtaani ni single mothers, na vijana wanawapenda kinoma.
Ni rahisi kuelewa hilo, mfano magari mengi yanauzwa Tanzania ni used, au mitumba yametumika sana yanakotoka na ndio tunayapenda sana. Ukielewa hili utaelewa kwanini Vijana wanawapenda hao.
 
Kwa jinsi mwenendo wa maisha ulivyo na idadi ya wanaozaa nje ya ndoa ilivyokubwa si muda mrefu single mothers watakua ni watu wanaolewa vizuri tuu kama hawa wadada wengine wanaolewa...
Uko sahihi, tatizo ni kuwa hao wanaume waoaji nao sasa hivi hakuna. Vijana ni choka mbaya kuanzia kiuchumi mpaka huko kitandani, hivyo soon Single Mazas watakuwa na sifa sawa tu na wengine, tena watakuwa na advantage japo wana watoto wa kulinda sifa ya baba. Naona wakija kuwa wanatafutwa kama dhahabu huko mbeleni. Wavumilie tu haya mashambulizi kwa sasa πŸ˜€
 
Na yeye kamzalisha watoto au bado??
 
Atafute namba za jamaa ampigie simu amwambie Nampa siku tatu aje abebe mbegu zake lasihvyo kitakachomkuta asije kulaumu
Amchukue dogo ampeleeke kwa Bab ake then kam mam atamaind Basi amfukuze moja kwa Moja kwa red. Card
 
unaweza ukajipinda kushauri kumbe wewe mwenyewe ndio yamekukuta, dah
 
Single mama nilishasema ni tatizo la afya kwa mwanaume , jion tutakuwa na kikao kuhusu single mama mualike na jamaa yako asikose.
 
Single mama akishaolewa sio
hekima kuendelea kuwasiliana na hata kukutana na mzazi mwenzio. Huyo baba awasiliane na wajomba, Babu, bibi. Zama hizi kutaka kukutana na baba mtoto ni ametaka tu mwenyewe hamna ulazima
 
Toa neno la kiushauri bac TY..yawezkana ukaeleweka na kutoa mbinu zako za namna ya kuisha na sisi
Hapo ni uaminifu tu....mwanamke akikosa uaminifu na msimamo ndo bas tena.oeni tu mbona saivi mahusiano yote ni changamoto tu
 
Tatizo unapotuliza akili nako chini kunataka kusuguliwa.Afu asilimia kubwa wengi kuzaa ndo kulitusaidia tujue hata ina ladha gani...before ilikuwa ni maliza nivae kiwalo
Aisee wee unapenda kugegedana mpaka unataka nijivalishe mabomu nikuwowe
 
Mwanamke umedharaulika umepata wa kukuheshimisha unarudi tena kwa aliyekudharau akumwagie...Nife aje atombΨΉ kaburi langu.Asante mume wangu kwa kuniheshimisha.SINGLE MOTHERS TATIZO MSIMAMO
Mrembo, big up!
Msimamo kuntu huu😊
 
Sasa Kama bado anampenda Baba wa Mtoto wake,kwa nini Sasa asiwe nae hadi waibe!? huu ni ujinga,Kama umesha malizana na mtu biashara imeisha hiyo hata Kama kuna tuna Watoto lazima mipaka ya kuwaona itakuwepo tu!! Mi naona ni kujiendekeza tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…