Single mothers nawaibia siri nyingine

Umeandika vizuri, naomba niongezee yafuatayo.

Thamani ya mwanamke iko kwenye UKE (na ndio maana Mungu aliweka kizuizi); na ndio maana mwanaume wa kweli hawezi ubia kwenye mapenzi.Ila yeye anaweza mapenzi ya mishkaki bila tabu.

Mwanamke kuzaa na mwanaume, hii si tu wazazi bali hilo ni agano, tena agano la damu. Halifutiki hilo, na huyo anabakia kuwa mke wa mwenzio bila kujali sababu yoyote.

Suala la kujitambua na kuwa na Malengo ukweli uko hivi:

Mwanamke awali (kabla ya kuzaa na kuolewa), akili yake iko kwenye sura na maumbile yake. Akiisha zaa au kuolewa mulekeo wake unakuwa kwenye ustawi wa mtoto/watoto au na ndoa yake, sura na maumbile kwake sio kipaumbele tena kwake.

Hili la single mother, ni tatizo la kitaifa kuliko hata hii corona awamu ya tatu. kwa namna moja au nyingine familia zetu hizi zina mwanafamilia wa aina hii.

MADA ZA NAMNA HII NA ZIWE FUNDISHO KWA WALE AMBAO SIO SINGLE MOTHERS, UNAJIONDOA KWENYE USHINDANI!
 
Asante sana mkuu. Ume-add madini Safi sana
 
Mapungufu gani!? Kibamia!?
 
Single mothers is not for everyone.

Single Mothers Ni kipimo cha ukomavu wa kimwili,kiroho na kiakili kwa mwanaume.

Kwetu afrika,
Mwanaume Kukaa kibarazani na kuanza kuwasema vibaya wanawake Ni ishara ya mwanaume husika kutokujiamini na kutokumtabua nafas Yake ktk Jamii.

Pia, kimila Ni mmomonyoko mkubwa wa Maadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa single mother tu ni kosa la maamuzi bado wanashindwa kujiongoza, wanaleta tamaa zao na umuch know,ni watu wa ovyo sana alafu unamkuta bado anaringa market value imeshuka tayari. Gaddamit!!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kuku wewe!
 
Niliwahi kumpigia denda mwanamke wangu niliechana nae miaka kadhaa, tena bila hata kumtongoza au kumshawishi kivyovyote vile, yani mazingira yaliruhusu tu.

Nilifanya hivyo kama kumpima baada ya kuniachia nikague simu yake na kuona txt alizokuwa anachat na mpenzi wake aliekuwa nae wakati huo, na kama ningetaka kumla wala asingekataa. Kiufupi ananipenda na kuniheshimu sana, mpaka nashangaa.

Achaneni na Single mothers.
 
Hold on 'bwamdogo' kuna maswali hapo ukijibu ntafikiria hoja yako upya

1. Kitu gani kinamfanya single mother awe anajitambua?

2. Kama jibu ya hapo juu ni kuwa na mtoto/majukumu vipi ukiwa na mke ukazaa naye hawezi jitambua?

3. Kama jibu la hapo juu (2) ni hawezi ni kwanini ilihali na yeye ana mtoto/majukumu?

4. Kama jibu la hapo juu (3) ni kuwa ana mtoto ila majukumu kulea ni ya kwako mume, vipi huyu single mother ukimganya mke majukumu yanakuwa ya nani?

5. Kama jibu la hapo juu (4) ni majukumu yanakuwa ya kwake/ya kwenu/ya kwako, kuna utofauti gani na ukiwa na mwanamke mkazaa na kuishi pamoja?

Mkuu ukinijibu ntarudi maana naona umependa limao kwa rangi ya ganda hujui ndani ni chachu kiasi gani, limso sio chungwa Mkuu ni yanafanana tu.
 
Asante sana kwa uelewa wako mkuu
 
Wow, hongera aisee una akili ka zangu😉
 
Ulimkuta tu na yeye hajielew, mimi kama tumeachana hata simu sitak lacvyo iwe inahusu watoto, ukitaka kuwaona unatolewa watoto wako nje ya geti. inabaki co parenting, kwani watu mnafeli wap? kama mtu anaruhusu yote hayo jua hata kama mngekua hamjazaa unamla wakat wowote trust me.
 
Safi sana! Kuna wanaume anakuacha kwa mbwembwe na matukio alafu anasumbua mahusiano yanayofuata yenye utulivu. ili mradi uharibikiwe tu.
 
safi sana! kuna wanaume anakuacha kwa mbwembwe na matukio alafu anasumbua mahusiano yanayofuata yenye utulivu. ili mradi uharibikiwe tu.
Si ndo hapo bwana, mtu kama alikupenda kweli msingeachana. Kuruhusu awe na wewe tena ni ukosefu wa akili. Mnatumia kigezo watoto wakat watakua na kuwa na miji yao huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…