Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

Tatizo unapotuliza akili nako chini kunataka kusuguliwa.Afu asilimia kubwa wengi kuzaa ndo kulitusaidia tujue hata ina ladha gani...before ilikuwa ni maliza nivae kiwalo
Kwahio unampelekea baba mtoto😂
 
ulimkuta tu na yeye hajielew, mimi kama tumeachana hata simu sitak lacvyo iwe inahusu watoto, ukitaka kuwaona unatolewa watoto wako nje ya geti. inabaki co parenting, kwani watu mnafeli wap? kama mtu anaruhusu yote hayo jua hata kama mngekua hamjazaa unamla wakat wowote trust me.
Hahahah kwahio watoto awaone nje ya geti huko
 
si ndo hapo bwana, mtu kama alikupenda kweli msingeachana. Kuruhusu awe na wewe tena ni ukosefu wa akili. Mnatumia kigezo watoto wakat watakua na kuwa na miji yao huko
Tatizo sio wote wana hizi akili! Akishakuja baba watoto anakulegeza akili anajipigia tu hasa wale ambao mliachana kwa peacefully bila mbwembwe
 
Habari za mda huu wanajamvi.

Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume wenye hofu ya kuingia kwenye ndoa na wanawake waliozaa na mwanaume mwingine.
Mimi kama mimi sina tatizo na single mothers, ila nina tatizo na single mothers wenye watoto wa kiume. hawa watoto wa kiume wakiwa wakubwa wanakuwa wasumbufu kwa baba zao wa kambo na wanaweza kufikia wakati wakatamani hata kupigana na baba wa kambo endapo kutatokea hitilafu kidogo.

Unaweza ukagombana na mamaake akaona kama unamnyanyasa au unamuonea mamaake, wakati jambo la kugombana kwenye mahusiano ni la kawaida, hata angekua anaishi na babaake mzazi angeshuhudia babaake akifikia hadi hatua ya kumpiga mamaake, ila kwa vile ni babaake mzazi anaweza asione shida.

tofauti ipo kwa single mothers wenye watoto wa kike. Ni ngumu sana baba wa kambo kugombana na mtoto wa kambo wa kike, kwasababu sio wasumbufu na sio watu wa kuvimba. hali hii inamfanya mwanaume awe na matumaini na ndoa yake na amani ndani ya nyumba.

kwanza mtoto wa kiume akishaona unatembea na mamaake automatically anakua na chuki na wewe akiona kama unamchezea tu mamaake. ila mtoto wa kike anaweza akamsifia mamaake kwamba mama amepata mwanaume mpole, mtulivu, muwajibikaji na anaejielewa, kitu ambacho mtoto wa kiume hawezi kukusifia.

Ushauri wangu ni kwamba kama unataka kuoa single mother basi oa mwenye mtoto wa kike, kwasababu baba na mtoto wa kike kiasilia wanakua na mahusiano mazuri.
 
unamaanisha ukioa mwanamke ambae sio single mother huwezi kugongewa au? nipe sababu ya hio big greaking NO yako mkuu.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app

uwezekano wa singo maza kugongwa na mzazi mwenza ni 100% , wala halina ubishi

mtoto atataka amuone baba yake, mama yake atampeleka na atagongwa hukohuko ( kupasha )

au mama atataka amuone mwanawe ambaye anaisha kwa baba, akienda anagongeka kiwepesi kabisa
 
kugongeka ni swala la mwanamke mwenyewe mpaka atake sio kila nwanamke atakubali chief.

na baba kumwona mtoto sio lazima mama mtoto aende kwake. anaweza akaja nyumbani kumchukua anaenda nae matembezi jioni amrudishe au akae nae likizo, ikiisha mtoto anarudi. simple

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
kugongeka ni swala la mwanamke mwenyewe mpaka atake sio kila nwanamke atakubali chief.

na baba kumwona mtoto sio lazima mama mtoto aende kwake. anaweza akaja nyumbani kumchukua anaenda nae matembezi jioni amrudishe au akae nae likizo, ikiisha mtoto anarudi. simple

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
haha, uko Pluto nini mkuu,

unaongea kinadharia sana, ingia uwanjani uucheze mdundiko wa kudate/kuoa singo maza

ndipo utakapozisoma vyema namba za ki-'kantoniz'
 
Back
Top Bottom