Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

Haya masingo maza ni yakuya pumulia na kuyaacha kama yalivyo yaendelee kupauka... The moment unaonyesha kumpenda atamsema vbaya aliyezaa nae atasema yote mabaya ilimradi ulainike ufanye nae maisha umuoe. Baada ya kumuoa anaanza mahusiano ya siri na mzaz mwenzake. Narudia tena kama kuna mwanaume unataka kuoa single maza utakufa kwa presha. Single maza wote akili zinafanana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nicheke mimi [mention]kelphin kepph [/mention] wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo ni uaminifu tu....mwanamke akikosa uaminifu na msimamo ndo bas tena.oeni tu mbona saivi mahusiano yote ni changamoto tu
Ila ss iv mnaupiga mwngi kutuzidii..unaweza mpanga mtoto wa watu ukaona huyu ndo mpk kweny shelaa na suit..cku hyo hyo anaanza kukuambia nikija leo kulala utanipa sh ngap?ebu vaa sasa viatu vyetu wanaume afu umjibu huyo mtoto wa mama mkwe..
 
Mimi huyo nioe mwanamke lishafukunyuliwa na lijamaa mpaka limezalishwa huo ujinga siwezi kufanya hata kwa kuwekewa bastola kichwani

Demu nikiwa namfuatilia nisikia ana mimba ya msela mwingine nafuta Kila kitu chake na mzukq unakata kuanzia hapo
 
Mimi huyo nioe mwanamke lishafukunyuliwa na lijamaa mpaka limezalishwa huo ujinga siwezi kufanya hata kwa kuwekewa bastola kichwani

Demu nikiwa namfuatilia nisikia ana mimba ya msela mwingine nafuta Kila kitu chake na mzukq unakata kuanzia hapo
vipi kama alishatoa mimba?
 
Sasa Kama bado anampenda Baba wa Mtoto wake,kwa nini Sasa asiwe nae hadi waibe!? huu ni ujinga,Kama umesha malizana na mtu biashara imeisha hiyo hata Kama kuna tuna Watoto lazima mipaka ya kuwaona itakuwepo tu!! Mi naona ni kujiendekeza tu!!!
Tatizo siyo mwanaume,tatizo ni mwanamke.Jamaa akitaka anamuita anamgegeda,anaenda kwa yule aliyemsitiri.Mwisho wa siku dunia haina siri,wewe uliyemuoa unaonekana bonge la mpumbavu.Hii ndo moja ya sababu inayofanya mwanamke aliyezalishwa aonekane hafai hasa ukishuhudia matukio manne au matano ya hivyo.
 
Hicho ndicho wengi hawataki,mwanamke anazalishwa na unamuoa,akikutana na aliyemzalisha anafanywa chochote,tena na kwenye play list yake,unakuta ana ule wimbo wa Hamisa Mobeto sijui unaitwaje ule ila una maneno ya anayemmiliki ex wangu ni nani.....Yeye akipigiwa simu na ex anaona yeye ni Mzuri sana,hafikirii kwanini aliachwa akaolewa mwingine.Upumbavu mtupu.
Mimi nilivyo kuwa chini ya miaka 18 nilikuwa naimani yakuwa Mwanamke aliyezaa hawezi kuolewa na nilikuwa sipendi ata kuwatongoza nikiona mwanamke kashazalishwa nilikuwa najua hafai kuingia nae kwenye mahusiano.
 
Mimi nilivyo kuwa chini ya miaka 18 nilikuwa naimani yakuwa Mwanamke aliyezaa hawezi kuolewa na nilikuwa sipendi ata kuwatongoza nikiona mwanamke kashazalishwa nilikuwa najua hafai kuingia nae kwenye mahusiano.
Ikifikia miaka 45+ nakuendelea,baadhi ya wanaume hupunguza vigezo vya kuoa,anaamua kua mwanamke yeyote bora ni mwanamke,namuoa.Hata wivu wa kimapenzi huanza kupungua kwa baadhi ya wanaume.Mtu mfanoumefiwa mke katika umri Mkubwa au umetalakiana na mkeo katika umri Mkubwa,unaoa tu yeyote.Angalia kama Mrema.
 
vipi kama alishatoa mimba?
Mkuu heli atoe!!!
Kumbuka hakuna mwanaume anaekwepa mtoto hapa!
Ukiona yupo basi ujue huyo sio mwanaume
Sababu mwanaume kamili ni yule anaepambana na yaliyombele yake na sio kuyakimbia!
Tunachokwepa ni connection!!!
Ile connection iliyopo baina ya baba wa mtoto na mke wangu ndio topic hapa
Sio uwepo wa mtoto


Kwanza tu mtu wangu kuongea ongea na simu tu sipendi
Sembuse niwe NAJUA kabisa kua mke wangu kuna jamaa wanawasiliana HAPANA
 
Back
Top Bottom