Njoo basi tuishi pamoja mie ninahamu sana na mbususu yakoKuolewa kwio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo basi tuishi pamoja mie ninahamu sana na mbususu yakoKuolewa kwio
Nimechoka viungo vyote...utaumia bureNjoo basi tuishi pamoja mie ninahamu sana na mbususu yako
Wee usijali nitavifufua kupitia de liboloNimechoka viungo vyote...utaumia bure
Jamaa yenu ni ndezi Pro Max mwache aliwe kichwa tu kama Zelensky
Shida binadamu ni wabishi sana
View attachment 2233838
Kutaka vilivyokuzidi
Asee niko bomba kaka nilikutag kuwa sea piano simba wa nyika nishamtengeneza sema huku respond sijui uliona text yangu. Fundi kanila kama mbau hivi 20K yaniKaka hatujaonana mda
Mzima [emoji28][emoji28]?
Ila ss iv mnaupiga mwngi kutuzidii..unaweza mpanga mtoto wa watu ukaona huyu ndo mpk kweny shelaa na suit..cku hyo hyo anaanza kukuambia nikija leo kulala utanipa sh ngap?ebu vaa sasa viatu vyetu wanaume afu umjibu huyo mtoto wa mama mkwe..Hapo ni uaminifu tu....mwanamke akikosa uaminifu na msimamo ndo bas tena.oeni tu mbona saivi mahusiano yote ni changamoto tu
Siyo kwamba yamenikuta,naandika yale ninayoyaona kwenye jamii ninayoishi,ila asante kwa niaba.Umeongea kwa uchungu sana,pole sana mkuu kwa yaliyokukuta kwa single mother [emoji28]
vipi kama alishatoa mimba?Mimi huyo nioe mwanamke lishafukunyuliwa na lijamaa mpaka limezalishwa huo ujinga siwezi kufanya hata kwa kuwekewa bastola kichwani
Demu nikiwa namfuatilia nisikia ana mimba ya msela mwingine nafuta Kila kitu chake na mzukq unakata kuanzia hapo
Tatizo siyo mwanaume,tatizo ni mwanamke.Jamaa akitaka anamuita anamgegeda,anaenda kwa yule aliyemsitiri.Mwisho wa siku dunia haina siri,wewe uliyemuoa unaonekana bonge la mpumbavu.Hii ndo moja ya sababu inayofanya mwanamke aliyezalishwa aonekane hafai hasa ukishuhudia matukio manne au matano ya hivyo.Sasa Kama bado anampenda Baba wa Mtoto wake,kwa nini Sasa asiwe nae hadi waibe!? huu ni ujinga,Kama umesha malizana na mtu biashara imeisha hiyo hata Kama kuna tuna Watoto lazima mipaka ya kuwaona itakuwepo tu!! Mi naona ni kujiendekeza tu!!!
Mimi nilivyo kuwa chini ya miaka 18 nilikuwa naimani yakuwa Mwanamke aliyezaa hawezi kuolewa na nilikuwa sipendi ata kuwatongoza nikiona mwanamke kashazalishwa nilikuwa najua hafai kuingia nae kwenye mahusiano.Hicho ndicho wengi hawataki,mwanamke anazalishwa na unamuoa,akikutana na aliyemzalisha anafanywa chochote,tena na kwenye play list yake,unakuta ana ule wimbo wa Hamisa Mobeto sijui unaitwaje ule ila una maneno ya anayemmiliki ex wangu ni nani.....Yeye akipigiwa simu na ex anaona yeye ni Mzuri sana,hafikirii kwanini aliachwa akaolewa mwingine.Upumbavu mtupu.
Ikifikia miaka 45+ nakuendelea,baadhi ya wanaume hupunguza vigezo vya kuoa,anaamua kua mwanamke yeyote bora ni mwanamke,namuoa.Hata wivu wa kimapenzi huanza kupungua kwa baadhi ya wanaume.Mtu mfanoumefiwa mke katika umri Mkubwa au umetalakiana na mkeo katika umri Mkubwa,unaoa tu yeyote.Angalia kama Mrema.Mimi nilivyo kuwa chini ya miaka 18 nilikuwa naimani yakuwa Mwanamke aliyezaa hawezi kuolewa na nilikuwa sipendi ata kuwatongoza nikiona mwanamke kashazalishwa nilikuwa najua hafai kuingia nae kwenye mahusiano.
Mkuu heli atoe!!!vipi kama alishatoa mimba?