Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

Kuna sehemu za nikiwai kuishi mikoa ya pwani uko, Yani nilishangaa kijana wa miaka 27 ameoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 4 na kuachwa na mumewe nikishangaa kijana mdoga akamuoa.
Ufundi aisee...achana na hiyo kitu...😀😀
 
Habari zenu wanajukwaa hili.

Nimekaa nimefanya utafiti usiohusisha njia zote za research lakini nimetumia njia ya ukusanyaji wa takwimu ujulikanao kama "Observation method" na kubaini kwamba kuna tatizo kubwa sana linatengenezwa katika jamii ya sasa hasa upande wa malezi. Suala la Single mothers katika nyakati za sasa limekuwa kama fashion kabisa sijui shetani ametuzidi nguvu kiasi kwamba tunaona ni burudani tu au tunajua kuwa ni tatizo na tunapaswa kulitatua?

Leo naomba nizungumzie malezi ya watoto wa kiume. Kwa single mothers ambao wanalea watoto wa kiume. Jitahidi sana mtoto wako wa kiume achanganyike na wanaume kwa gharama yoyote ile. Mtafute ndugu au rafiki yako wa kiume ambae unamwamini sana.

(Namaanisha unaemwamini sana pia awe na hofu ya Mungu) awe anatumia muda mrefu kuwa nae hata siku za weekend ambazo haendi shule. Mruhusu aende nae sehemu ambazo atakutana na wanaume mbalimbali na atashuhudia jinsi wanaume wanavyotakiwa ku behave, ajifunze mwanaume anazungumzaje, ana react vipi, anafikiri vipi, anaamuaje mambo? Anaongeaje, anatumiaje maneno, anatembeaje? Anajenga vipi hoja zake.

Mtoto wa kiume aliyelelewa mazingira ya jinsia ya kike tu kuanzia mtoto hadi anapokuwa mtu mzima huwa anatabia tofauti na watoto wa kiume waliolelewa na familia zenye wazazi wa kiume na kike ,kwa upande wa asilimia kitabia huwa anauwezekano wa kuwa na tabia za kike hadi asilimia 60-70 za kike tu.

Kuanzia kuongea, kutembea, kubehave, kufanya maamuzi, ku react katika changamoto za maisha. Kitu ambacho kina leta changamoto katika kupambana katika maisha yake na kujikuta anaona ni bora awe upande wa wanawake kwasababu ndyo sehemu pekee anajiona yupo salama na anaendana nao.

Kuna tatizo tunalitengeneza ambalo tutashindwa kulitatua baadae kuhusu hawa watoto wa kiume. Tuwe makini sana.
 
Kuna tatizo tunalitengeneza ambalo tutashindwa kulitatua baadae kuhusu hawa watoto wa kiume. Tuwe makini sana.
Shetani amechukua nafasi kubwa kwenye jamii, kuwa au kuitwa Single Mothers imekua kichaka Cha Wadada wengi Cha kujificha na kudanga
 
Upo sahihi sana, mada muhimu hii....mtoto kulelewa na mama maana yake atakuwa anakutana zaidi na marafiki wa mamayake...mpaka saloon ataenda

Huo ni mwanzo wa Ushoga.
Wamama wengi wanalala bila nguo na watoto wao
 
Uzoefu wangu,Huwa wanawapenda sana watoto wao!! Ndio maana muda wote wapo nao...Hakuna mtu wanamwamini ktk hilo labda Aolewe.
 
Nimsaidie vipi huyu ndugu yangu wa kike (single mother) analala kitanda kimoja na mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka 15 kwa sasa yuko darasa la saba.....nimejaribu sana kumshauri kuhusu hili suala (ni mjuaji balaa na mbishi kwelikweli ni ile aina flani ya wanawake waliopata mfadhaiko kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha walizokutana nazo hapo nyuma.
 
Dah mtoto amechelewa sana shule jaman[emoji25][emoji25][emoji25]
 
Nimsaidie vipi huyu ndugu yangu wa kike (single mother) analala kitanda kimoja na mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka 15 kwa sasa yuko darasa la saba.....nimejaribu sana kumshauri kuhusu hili suala (ni mjuaji balaa na mbishi kwelikweli ni ile aina flani ya wanawake waliopata mfadhaiko kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha walizokutana nazo hapo nyuma.
Mwisho wa siku toto linakuwa shoga au wanabanduana na mama ake
 
Hata wa kike ni mtihani pia,

Mama anaingiza mabwana zake analalwa mtoto anasukia wanavyo neng’eneka unazani mtoto anajifunza nini kama sio kudanga kuanzia utotoni?!
 
Baba wa mtoto, mama wa mtoto, headmaster na wewe woote ni kapu moja tu.
 
Back
Top Bottom