Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

1.95% ya usingo mothers unasababishwa na wanawake wenyewe.
2.99% ya ndoa zinazovunjika sababu kubwa ni Wanawake.
3.90% ya watoto kutohudumiwa sababu kubwa ni huyo huyo mwanamke.

Anaye tetea atetee lakini huo ndio ukweli.
 
Kuna sababu kadhaa zinafanya Wanaume kusita sita kuhudumia watoto hata baada ya kuachana na Mke wake.
1.Mwanaume akihisi kabisa mtoto husika anaweza asiwe wake-inamiwia vigumu sana kimlea mtoto.
2.Kama ndoa husika ilitamatishwa kutokana na tabia za umalaya wa Mwanamke,inakuwa ngumu sana kwa huyo Mwanaume kuhudumia mtoto akidhania kuwa yawezekana hao watoto sio wake.
3.inakuta Mwanaume anajua fika mtoto ni wake lakini vikings vinavypigwa kwa mgongo wa mtoto vinakuwa vingi-mpaka anadhania hapo anachezewa.Pasipo kuelewa kuwa maisha ni tyt-ila wengi hufanya kama njia ya kumkomoa Mwanaume badaye Mwanaume huamua kusitisha kabisa.

Ndio maana nikasema haya matatizo yote chanzo ni wanawake.
 
Ila wanatia huruma sana.. Unakuta Mwanamke ana watoto watatu na biashara inayomuingizia riziki ni kuuza mihogo ya kukaanga....hapohapo alipe kodi, hapohapo awalishe watoto yaani ni noma ssana... Tuwasaidie tu mungu atatulipa
Kuna makundi mawili mkuu,single mothers ambao hawajawahi kuolewa na wale waliowahi kuolewa ambao either ndoa ilivunjika au alifiwa na mwenzi wake,sasa anayetia huruma ni yupi......
 
Wahenga walisema "mwanamke, mwalimu wake ni kipofu" sasa hapo unategemea nini? alafu cha kushangaza, mwanamke hata asome kiwango gani, au hata awe na cheo kikubwa namna gani? akirudi kwenye maisha ya uhalisia, anabaki kuwa ni mpumbavu tu. Hili jambo huwa linanishangaza sana.
 
Umezielezea hizo scenario je zipo ngapi? Huku mitaani unakuta mtoto kopi ya mwana na jamaa hana time ya kulea.

Sasa unakuta mtu kazalisha wanawake zaidi ya mmoja,huoni kuwa huyu ni tagizo maana siku hizi ishakuwa fashion,kuzalisha hovyo.

Wana kibao kitaa washazalisha wanawake zaidi ya mmoja, so unataka kuniambia wanawake walio wazalisha wana matatizo ila wao hawana matatizo?

Mfano mimi wana wa rika langu,asilimia zaidi ya 30 wamezaa na mwanamke zaidi ya mmoja,kuna jamaa mwengine mpaka sasa kaoa na kuacha mara tatu na wote ukizisikiliza sababu zao unao upuuzi na taamaa zetu za kiume za ngono.Kuna mabroo wengine wameza na kuacha wanawake tofauti,ila baadae sijui wakaona nini wakaamua kurudi kwa wake zao wa kwanza.

Umezalisha wa kwanza,tunasema bahati mbaya ,mara wapili,watatu.........nk,still unasema hana tatizo aiseee.........labda kama ni jamii ya malaika.
 
Sasa hii ya Single maza waolewe na baba za watoto wao, kuna wengine wana watoto zaidi ya mmoja na kila mmoja na baba yake,, ataolewa na yupi?
Tafsiri ya neno 'single mother ' hasa ni ipi basi??
Kama ana watoto wawili watatu au zaidi huyo basi siyo single mother tena.
 
Umeongea ukweli, hii ilishawahi kunitokea
Mimi huwa sio muongeaji wa mambo yanayotokea ndani ila mwanamke alikuwa na tabia ya kuwapigia simu wajomba zake na kunisema vibaya kwa majirani ili mimi nionekane mbaya, nikarudisha kwao

Siku mjomba wake namueleza mambo yote yaliyotokea, akaniambia, "Tatizo lako mjomba ulikuwa husemi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…