Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Wengi wako strong mdomoni na dhaifu moyoni
 
Wakati hilo mnalitizama msisahau na idadi kubwa ya wavulana wanaoishi na msimamo wa kataa ndoa.

Hili nalo ni tatizo jingine linalozalisha single mazaz,

NOTE,anguko ni la pande zote,wanaume kwa namba kubwa sana wanapoteza haiba zao,kivitendo na kiroho.
 
Tunawalaumu sana single mothers huku sisi wanaume tukijipa nafasi ya umalaika. Tunajisifia sana kupeleka na kuwa wazuri kitandani ila output ya ile creativity tulio iweka kitandani tuna ikataa.

Jamii yetu sasa hivi inashindwa kuwajibika si wazazi ,si wanaume wala wanawake. Mabinti wanatamaa ya fedha huku wanaume tunapenda ngono ila wengi wetu siku hizi hatutaki kuwajibika. Hili tatizo sio la single mother pekee ni la jamii yote kiujumla.
 
Na akiondoka baada ya miezi michache anakwenda kuwa mchepuko wa mume wa mtu!
 
Kuna Daktari mmoja yupo pale UDSM (IDS) ni frontiers wa masuala ya usawa na moja ya feminist mzuri sana! Niliwahi kupiga naye stori miaka hiyo! Nikamuuliza "Upo mstari wa mbele kuwapatia uhuru mabinti na wanawake katika ndoa zao, je na wewe nyumbani unayafanya hayo?" 😀 Aisee alinipa jibu mpaka nikachoka, binafsi alidai kuwa hiyo ni kazi yake kwa kuwa anafanya ili apate pesa na maisha ila nilimnukuu akisema kuwa Mwanaume ni bidhaa adimu duniani! MWANAUME NI BIDHAA ADIMU! Ishi sana Daktari.
 
Labda wale wenye hela ila Hawa choka mbaya wa mtaani kwetu hata single mother wazee hawawataki kwa kweli
 
Bado hamjasema,,hamjaombwa wala kulazimishwa mtuoe😂😂afu um ndani mnajishaua tu,mnawapongeza hao wameza P2 wenu,,mkiwaoa hawazai mnawaacha mnarud kwetu ambao vizazi viko stable kam vya house girl 😌😌😂😂
 
Haahaaa
 
Wizara husika wanajifanya hawalioni wako kimya acha vibaka na majambazi waaendelee kuongezeka mitaani

Zitakuja ziwakae sawa baadae watakapo vitaka viti vyao wavikalie na la kuwa fanya hawana
Hii point ni nzito sana, inatakiwa ikapelekwe bungeni kujadiliwa. Ila wale wasimbe pale bungeni ni wanafiki sijawahi kupata kuona.
 
Yeye mwenyewe 2pac alikuwa ni mtoto wa Single mother. Wadhani mtoto wa single mother anajisikia vizuri akiona masingle mother wanasemwa?

Mama yake kashamjaza mashudu kichwani kuhusu baba yake na kumchafua mwisho wa siku anajiona na yeye ni victim wa baba ambaye amewakimbia.
 
Wachache watakuelewa, jamii ya mwafrika bado ipo kizani sana eneo la maendeleo na ustawi wa jamii. Tunahitaji kuja na mbinu mkakati za kukomesha hili sasa. Single mother ni kirusi kibaya kuliko hata ukimwi na ni hatari kuliko hata madawa ya kulevya.

Tuendelee kucheka ipo siku tutalipia hesabu kubwa sana kama matokeo ya kuzorota kwa ustawi wa jamii.
 
Yaani hapo ni sawa na useme tujadili rushwa kama matokeo ya ugumu wa Maisha, badala ya kujadili ugumu wa maisha kama chanzo kikubwa cha rushwa.

Vijana wanakwepa ndoa sababu ya kizazi cha wanawake wa sasa sio washirika wazuri wa kujenga ndoa imara. Na haya ni matokeo ya harakati za kijinsia zilizoletwa na serikali kwenye program zao mbali mbali jambo ambalo limepelekea wanawake kukosa na kupoteza uhalisia wao.
 
Mwanamke asiye mshirika mzuri wa ndoa ni zao la mwanaume goi goi anayeachia misingi yake ya kiume.

Hatuwezi kuacha hilo lipite eti wanawake wametushinda so,tuendelee na kampeni ya kataa ndoa.
 
Ukiona kwenye kikao cha Simba swala wanasemwa halafu simba m'moja anasimama na kuanza kukinzana na simba wenzake kwa kutetea swala inatia shaka sana juu ya mafunzo ya huyo simba namna ya kuwa simba imara.

Inashangaza sana kuona mwanaume unajipiga kifua na kutoa kauli kinzani mbele ya wanaume wenzako na kushambulia wanaume as if wao ndio wasababishi wa tatizo husika.

Hivi unajua majority ya single mothers ni self made victims, unalifahamu hilo?

Uliza kila mwanaume hapa atakwambia alikutana na mwanamke akamwambia "we nipe tu mimba mtoto ntalea mwenyewe kwasasa mimi ndoa hapana labda baadae huko".

Sasa ni ujinga unakuja hapa kama mtoto wa kiume kutuwakilisha kwa hoja za kipumbavu za kutuself guilt ili tujione wanaume ni wakosaji ile hali sio uhalisia.
 
Single and miserable women like to drag and pull happy and wedded/engaged women into eternal loneliness like them.
 
Hivi wewe una busara kweli ? Kwahio unaona ni sawa kwa Sababu Baba amekimbia na Mama na yeye akimbie ili mtoto awe Homeless ?

Kinachoangaliwa hapa ni well being ya mtoto na kuna wakati kuliko kuwa kwenye atmosphere ya watu wanaopigana ni bora awepo kwenye atmosphere ambayo ina Upendo kuliko atmosphere ya tofauti.... Kwahio kwa point yako sababu mtoto sio wa Single mother hawezi kutetea Upuuzi wa Kutekeleza Watoto na Kina Mama... Kumbuka it Takes two to Tango
 
Siku vijana wa siku hizi hawapendi kubeba misalaba yao,sipo humu kumtetea mtu kisa ni jinsia moja ni upuuzi. Nina Single mother wawili ambao ni ndugu zangu na wasaidia kwa baadhi ya vitu na najua visa vyao.

Kiasili na kiumbaji mwanaume ni Mlezi na Mlinzi ,ukishindwa kufanya hivyo ww kiasilia sio mwanaume kamili na mwanaume HASUSI (hizi tabia za kike) majukumu yake,umefanya ngono haijalishi mlikutana vipi na alikufanya nini, ila kile kiumbe ni msalaba wako hauwezi kukimbia.

Mimi sitetei upumbavu kama wewe na husijipe nafasi ya malaika eti wanaume hawakosei, ila single mother wanakosea hilo na kukatalia, kwani sisi ni binaadam na kukosea ni asili yetu.

Eti ni mtetea mtu kisa mwanaume mwenzangu, mimi upumbavu huo sifanyi (mimi sio oya oya) na sina akili ya kushikiwa kwani nina uwezo wa kuchanganua na kujua yupi yuko sawa na yupi hayuko sawa.

Wanaume hatuwezi kukikimbia hiki kikombe cha mamtatizo ya Single mother,kwani ktk asilimia 100 ya tatizo basi yetu wanaume inaweza kuwa 40+.

MWANAUME KAMILI HASUSI MAJUKUMU YAKE KWANI KUSUSA NI TABIA ZA KIKE KWANI HAWA WAMEUMBWA KUSUSA NA KUDEKA.Umetia mimba mwanamke kakukera mnaachana unabeba msalaba (mtoto) wako kama MWANAUME wa kulea na kumtunza wanao.

Eti ni mtetea mtu kisa jinsia moja,mimi Us*nge huo sifanyi labda ww na kama ukikosea na kuchana kama MWANAUME.
 
Nani kakuambia hakuna campaign huko? Zipo sana. Feminism movement zipo kila nchi . Ulishawahi kufuatalia hizo campaign au unaongea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…