Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Poa bro. Imeisha hiyo.Bro tafuta hela ufurahie maisha.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa bro. Imeisha hiyo.Bro tafuta hela ufurahie maisha.....
UnadanganywaX wangu tuna watoto wawili,na tuna mpango tuzae wa 3,hakuna kuchanganya watoto.
Mnavyoandikaga mtandaoni sasa.. utafikiri hatuwajui huku mtaani.Na ndiyo maana nimesema tatizo upendo ni zero....pesa hainunui upendo
Shida ni kufanya maamuzi kwa pupa, kukomoa, na njaa hizo ni sababu kuu za watu baada ya kulevuka yaani ulevi kuisha hurudi kwenye akili zao halisi ndo pale wanarudisha majeshi walikotokaJapo mi binafsi nadhani inasababishwa na kuingia kwenye mahusiano bila upendo....kuingia kwenye mahusiano kusitirika na siyo upendo .....
Maoni yenu tafadhali...maana mapenzi yamepoteza maana sikuhizi...🚮
Humu utaishia kupoteza muda mkuuTeacher Madam,
Remember that "Every woman has a past she surely regrets and every good human being makes mistakes, but that does not prevent her from being an ideal woman for another man".
On my side, I am single and looking for a woman that needs a "man/husband". I will not stop from either loving or marrying a Single Mother if she is ready to establish a new and stable family and live a happier life together. Most single mothers have a "CLASS OF THEIR OWN, and there's a Queen in them"
NOTE: Past is past, yesterday can never come again, it was a lesson, it was a process that helps remolded our lives for the now and future.
CONCLUSION: Any single woman, single mom or not, if you need a real man for a stable and long-term relationship, don't hesitate to get in touch with me by hitting my PM.
ufanyaji maamuzi kwa pupa ni ule unasikiliza washauri yaani watu wa nje juu ya mahusiano yako, unaziacha au kuzipuuza sababu zilizokufanya umpende huyo uliyeachana naye au kuzaa naye,.. kufanya maamuzi kwa kikomo ni pale mmetofautiana au pengine umemfumania na mwanamke mwingine basi unakimbilia kumuonyesha kwamba sio kwamba wewe huwezi na wewe unaweza, tatu njaa, unaendekeza njaa yaani umefanya mapenzi ni sehemu ya mtaji wako ili uishi yaani bila mapenzi wewe huwezi ishi ndio hao wanakimbilia kusema mapenzi bila pesa haendi ila akili zao zikilevuka ndio wanajikuta wamekuwa watumwa wanachuma huku ili wakatumie na yule wanaempenda🤣🤣🤣Aisee
Somo lako lipo clear sana mkuuufanyaji maamuzi kwa pupa ni ule unasikiliza washauri yaani watu wa nje juu ya mahusiano yako, unaziacha au kuzipuuza sababu zilizokufanya umpende huyo uliyeachana naye au kuzaa naye,.. kufanya maamuzi kwa kikomo ni pale mmetofautiana au pengine umemfumania na mwanamke mwingine basi unakimbilia kumuonyesha kwamba sio kwamba wewe huwezi na wewe unaweza, tatu njaa, unaendekeza njaa yaani umefanya mapenzi ni sehemu ya mtaji wako ili uishi yaani bila mapenzi wewe huwezi ishi ndio hao wanakimbilia kusema mapenzi bila pesa haendi ila akili zao zikilevuka ndio wanajikuta wamekuwa watumwa wanachuma huku ili wakatumie na yule wanaempenda
karibuSomo lako lipo clear sana mkuu
Kama mtu huyo huyo mliweza kuachana nini kinakurudisha ambacho huko ulipokua umekikosaNyege na pesa mkuu