Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kukubaliana na wewe lakini moyo wangu unakataa kabisa, ujue kwanini nasema hivyo?Humu utaishia kupoteza muda mkuu
Nakazia mapenzi siku hizi hayana maanaHii ni ajabu sana,udharaulike amekuja wa kukusitiri urudi uchafuni tena.... inashangaza Sana
Ok, vizuriNatamani kukubaliana na wewe lakini moyo wangu unakataa kabisa, ujue kwanini nasema hivyo?
Katika Media/Platforms zo social media ambazo zipo well respected basi Jamii Forums ni namba moja kwa Tanzania.
Zaidi ya hilo ni kuwa Jamii Forums imebeba watu wasomi wa aina zote kuanzia Form two drop out hadi watu wenye Degree zao. Humu ndani kuna watu wana professions za hali ya juu but ni ngumu kuwafahamu kwa sababu wanatumia id fake kama ulivyo wewe but you have your own profession and you have your class.
Mimi naamini humu ndani nitapata 'Mwanamke wa maisha yangu' ambaye naye ana uhitaji wa mume bora. Kuna siku niliota nimeoa mwanamke wa Jamii forum ambae ni msomi wa hali ya juu na ana career yake nzuri sana, she was single for a long time but tulipokutana our chemistry matched well, and thereafter we got into a longterm relationship and loved each other .....
NOTE: Hiyo ndoto bado inaishi na naamini mke wangu anakuja. We mwanamke 'MOYO MPWEKE' njoo kwangu tujenge maisha pamoja.
Cha msingi tupendane na tusiache kupeana utelezi kimasiharaHakika
Kuna x wangu hunisimulia moment za mahusiano yetu yalovunjika miaka mingi ilopita.Japo mi binafsi nadhani inasababishwa na kuingia kwenye mahusiano bila upendo....kuingia kwenye mahusiano kusitirika na siyo upendo .....
Maoni yenu tafadhali...maana mapenzi yamepoteza maana sikuhizi...
Nimeweka mambo sawa.Mr. Sound any problem?
Make X the subject, ndipo utaipata thamani ya X.Thamani ya x bado haijulikani.
Hata waalimu na wanafunzi wa mapenzi wanaulizana THAMANI YA X
Unanifurahishaga sanaPesa itafutwe ila mkuyenge ni muhimu sana cute😋
Swali zuri sana akikujibu nitagBro ukiwa na hela huachwi au?
ndio ivyo yaani.Yeah sure 🤣
Bro eehSure bro,I appreciate it 👊
Atajua yeye, nichojua nazaa nae.Unadanganywa