Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

Kuna nini jamani hali ngumu mfanyakazi wa serkali unalala njaa hii ni hatari jamani tutafanyeje hizo kazi?

Ni kwanini mshahara hautoki?
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Nacheka km mazuri vile Ila daah acha nisiongee NENO
 
Acha kukurupuka wewe kwani mwisho wa mwezi umefika?

Kawaida serikali huanza kulipa mishahara kuanzia tarehe 25 ya kila mwezi sasa kama uliwahi kulipwa kabla ya hapo basi ilikuwa ni kwa sababu maalum na hasa sikukuu za kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…