Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujuaji kama we ni ticha ndio umelipwa wengine bado. Japo siishi kwa mshahara ila muwe mnaacha upotoshajiJf nayo uhuru umezidi Sana mishahara imeshalipwa lakini uzi unaachwa tu duh kipindi cha dicteta Magufuli huu uzi usingezagaa hapa
Wafanyakazi Wasio wazalendo NDIO huwa na cheap Mind.....Mpaka sasa si WAALIMU, MATABIBU wala MAAFISA WA JESHI waliopokea mishahara yao ya mwezi Mei 2023.
Hazina ya serikali inahitaji wastani wa bilioni zaidi ya mia sita kila mwezi kwa mishahara ya watumishi wa umma na nyingine zaidi ya bilioni 8 bilioni kwa malipo ya pensheni.
Watalaam mbalimbali wa mambo ya uchumi wanadai kuwa kuchelewesha kwa haki ya watumishi na wastaafu kwa ujumla inasababishwa na mipango duni pamoja matumizi makubwa yasio na tija kiuchumi. Viashiria vyote vinaonesha kuwa tatizo hili linaweza kuendelea kwa miezi kadhaa.
Vilevile imetajwa ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali fedha kama sababu kuu zinazolifanya taifa hili kukosa fedha kuwalipa wafanyakazi wake kwa wakati.
Sababu nyingine ya kucheleweshwa kwa mishahara ya watumishi wa umma ni kukosa vipaumbele kwa masuala muhimu na badala yake kuwaridhisha baadhi ya viongozi wake na wabunge ambao muda wao wa kupiga kelele Bungeni ni wa muda mfupi tofauti na mtumishi wa umma ambae anafanya kazi kwa zaidi ya miaka 30.
Kwa kipindi kirefu serikali imekuwa ikijigamba kuwa kupitia Mamlaka ya Ukunyaji Kodi (TRA) inakusanya Zaidi ya Trilinioni mOja kwa mwezi Swali la kujuliza ni je fedha hizo zimekuwa zikitoweka kutoka chanzo chake ambacho ni mamlaka ya TRA, ama hupotea zinapowasili katika wizara au sababu zote mbili?
Hivi karibuni wafanyabiashara katika soko lakimataifa la karikakoo waligoma kutokana na kuongezeka kwa mienendo ya rushwa na kubambikiwa kodi zisizo na muelekeo katiak sehemu zao za biashara.
Haya yanajiri huku watumishi wa umma wakisubiri mshahara yao hatua ambayo inaweza kuweka huduma za serikali kwa umma katika hali tete.
WASWAHILI SIKU ZOTE WANAMSEMO USEMAO KIKULACHO KI NGUONI MWAKO.
Kada ganiLeo mshahara umetoka lkn kwa mbinde!
Mm isha umaliza kwa lulipia madeni ya Pasaka na Idd.
Kudadeki
Umetoka mda
Ale kwa urefu wa kamba Yale Sio[emoji4]Jiongeze wewe
Kwahiyo katiba mpya itakulipa mshahara?Tutaongea tu Lugha moja ya KATIBA mpya.
Juzi walianza wafanyabiashara, Leo watumishi wa Serikali, kesho litaibuka kundi jingine,
Tutasikilizana tu, maana Leo Hadi Polisi aliyekuwa akitumiwa kupiga raia waodai HAKI, hajui hatma yake sababu ya kundi dogo la Viongozi,
Tutaelewana tu.
Tarehe 23 mwezi huu mpaka tarehe 23 mwezi ujao ni siku ngapi?Kwani mwezi umeisha? Kwani mwezi huu mwisho tarehe 24? Au
Atalia lia hadi lini🤣Ale kwa urefu wa kamba Yale Sio[emoji4]
Tumieni jukwaa vizuri,acheni masihara.Mtu anapo uliza anatalajia majibu mazuri na yenye ukweli. Kumbukeni Kuna viongozi na watu wazima wanasoma hizo comments zenu. Kama hujui kitu na hakikuhusu Kaa kimya sio lazima u comment.Umetoka
Wenye nazo hawasemagi mkuuNatoka Nmb kutoa 1,850,000/-
Umetoka mkuu toka SAA sabaM
Tumieni jukwaa vizuri,acheni masihara.Mtu anapo uliza anatalajia majibu mazuri na yenye ukweli. Kumbukeni Kuna viongozi na watu wazima wanasoma hizo comments zenu. Kama hujui kitu na hakikuhusu Kaa kimya sio lazima u comment.