LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Huko mbeleni ni ngumu kwani saivi kila mtanzania yuko priviledged kielimu kifedha wadhifa serikalini na nje ya serikali biashara nkHao watusi wa bongo naamini huko mbeleni watawaibua wahutu wao wenyewe.
Hii arrogance ya kujifaragua kuwa wao ndo 1st class citizens ikipata watu wa kutia kiberiti hisia za upande wa pili,kwisha habari.
Yani hamna kabila linaloachwa nyuma..inakata wale waliojidhania wao ni superior wkt in real sense they are not ni raia tu ka watu wengine