Huko mbeleni ni ngumu kwani saivi kila mtanzania yuko priviledged kielimu kifedha wadhifa serikalini na nje ya serikali biashara nkHao watusi wa bongo naamini huko mbeleni watawaibua wahutu wao wenyewe.
Hii arrogance ya kujifaragua kuwa wao ndo 1st class citizens ikipata watu wa kutia kiberiti hisia za upande wa pili,kwisha habari.
Sasa nenda google kajisomeee usiwe mvivuEndelea kueelezea sasa nimekuruhusu.
Daa haya banaSasa nenda google kajisomeee usiwe mvivu
Kama upo Dar es Salaam nenda ofisi za wizara ya mambo ya njeHvi hizi kumbukumbu za mabalozi waliopita huwa zinatunzwa wapi maana nimehangaika kufungua fungua katka website ya wizara ya mambo ya nje Lakn wapi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabaguana kuhusu nini?Kama fursa za kiuchumi na biashara zipo wazi na kwa usawa kwa kila mtu sioni shida Mimi rais hata angekuwa mmasai achilia mbali mtusi. Watajichelewesha kwa ujinga wao wenyewe.Ubaguzi uko kwa kiwango cha juu sana unasikia tu fika pale ujionee
Sent using Jamii Forums mobile app
na CCM ndo watakao iangamiza nchi kwa kuleta machafuko, angalia kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa walichokifanya, kama siyo uungwana wa kijinga wa watanzania wa kukubali kudhulumiwa haki zao hiyo tu ilikuwa ni tiketi ya kuipeleka nchi kwenye machafuko.
Msimuliaji wa kisa hiki kuna jambo moja la maana sana kalielezea kuwa ukiona vyama vya siasa vimeanzisha vikundi vyao vya ulinzi ujue kuwa imani kwa jeshi la polisi imekwisha na kinachofuata hapo ni nchi kuingia kwenye machafuko.
Nterahamwe kikosi kikuu cha mauaji kilikuwa ni kikundi cha ulinzi kilichoanzishwa na chama tawala na ndicho kilichoendesha mauaji ya hatari sana nchini Rwanda ambayo kwa kiasi fulani na mimi niliyashuhudia kwa kuwa nilikuwa karibu na maeneo hayo ndo maana sina swali lolote kwa msimuliaji wa kisa kwa kuwa na mimi niliguswa.
Ukiachilia mauaji ya kuuawa kamanda Mawazo, kwa macho yangu nimeshuhudia wagombea 2 wa upinzani wanapigwa mapanga mbele yangu na vijana wa kikundi cha ulinzi cha CCM katika uchaguzi wa serekali za mitaa wa mwaka 2014 kwa kuwa tu CCM walitaka wapite bila kupingwa.
Hata hivi vikundi vya ulinzi ndani ya vyama waanzilishi walikuwa ni CCM.
Sijui ni umaskini? Kutokujali na kupuuzia kwa serikali?? au tu kutokujua hatari waliyokuwemo raia wa Tanzania pale ubalozini, yaani mimi nafikiri ilitakiwa zishuke helicopter za JWTZ pale ziwachukue raia na kurudi. Safari ya uokoaji kwa usafiri wa malori ilikuwa ni ya hatari kubwa sana, maana kuyasoma tu waliyokuwa wanayapitia siku za mwisho za kuokolewa pale najisikia vibaya sana sijielewielewi nafikiria wahanga wale walikuwa na hali gani, ni jehanum ya duniani.
Kuna raia humu wana roho mbaya, wanamshawishi baba yetu Bossless ahamishe stori kwenye kitabu
wanatamani stori ingekuwa yao wangetuhamisha watsap kwa kiingilio cha elfu 2
Mungu akaliona hilo ndo maana stori kampa mzee wetu
Ajabu watakopi na kuhamishia FB, ista na watsap, watajifanya wao ndio mzee Bossless na watawachangisha wenzao pesa ya kiingilio ili kupata stori
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnasema wanaongea lugha moja tena? Mnanichanganya
Jmn mbona huelewiWanabaguana kuhusu nini?Kama fursa za kiuchumi na biashara zipo wazi na kwa usawa kwa kila mtu sioni shida Mimi rais hata angekuwa mmasai achilia mbali mtusi. Watajichelewesha kwa ujinga wao wenyewe.
Mkuu mbona kama unajichanganya kumbuka Rwanda civil war na Rwanda genocide ni vitu viwili tofauti.Mkuu yale hayakuwa mauaji dhidi ya watutsi tu bali ilikuwa ni VITA yaani wakati wahutu wanachinja watutsi na hao Watutsi wanachinja wahutu kutumia vikundi vyao vya waasi mfano INTEREHAMWE/FDLR,APERHUTU kwa Wahutu na be it UPRONA/RPF kwa watutsi na ndio maana kule Uganda kwenye mitaala ya shule haiitwi Rwanda genocide kule tulisoma inaitwa Rwanda civil war yaani VITA sio Mauaji!!
Point of correction. Kiingereza Cha kimbari ni "genocide or massacre''. Yaani mauji ya watu wengi ambayo NI endelevu au kwa muda mfupi.Mkuu "Mbari" ni neno la kiswahili lenye maana ya Koo "clan" "ethnicity" kitu ambacho wengi awakijuhi ni kwamba yae mauaji ya Rwanda yalikuwa baina ya koo mbili za watusi na wahutu (sio kabila) kwan uko watsi na wahutu wote wanaongea kinywarwanda na tamaduni ni sawa awa tofauti zao ni morphology yaan mwonekano....sifa ya ziada awa watusi inasadikika wana asili ya Ethiopia ndo maana ni wazuri kulinganisha na wahutu, mauaji yale kuna wakt mtu ilibidi uokolewe na nan anakujua au "kipande" id na wala sioo mwonekano wako kwan walishaingiliana so kupoteza identity...
I stnd to be corrected
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea kichwa cha habari, Anasimulia alichokiona, usimbebeshe mzigo ambao usio mhusu, sorry kama nitakua nimekukwazaMkuu je hizo silaha walikuwa wanapewa na Nani?serikali iliyopo madarakani au Kuna ufadhili walikua wanaupata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watz wanapenda kusoma story....Watanzania wakitaka kitu wanakua wapole sana...ona kwenye huu uzi,kuna watu wanajua kubembeleza aisee,wanajua kujinyenyekeza..yaani tumekua wapole...ninachofurahi ni kuona bado kuna watanzania wana spirit ya kupenda kusoma ..
huyo Bossless unaemwambia aache ufala ana 55yrs wew kwa hii comment yako tu inaonyesha hauzidi 30yrs....heshima ni kitu cha bure kabisa.
Kinachoshangaza kabisa hakuna kabila linaloitwa watusi au kabila linaloitwa wahutu yaani hawa watu wanaongea Lugha Moja ila tofauti yao ni Races tu basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama balozi alifanya kitendo Cha ujasiri sana kuwaokoa wale wana hapo ndio una apply ule usemi wa mtoto wa mwenzio ni wako...hii stori inasisimua sana.usiombe yakukute amani ktk nchi Ni kitu muhimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lugha ya kitusi au kihutu.Kwahiyo kuna kitusi na kihutu si ndio