Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini


Kwa nini huwa mna kuwa wavivu wa kusoma mstari kwa mstari ili muelewe??mbona sisi wengine tumeelewa kwamba huo muda/mwaka aliosema mtoa mada bado vita ilikuwa haijaanza!! Inamaana ni wewe tu ndo umeona kwamba huo mwaka vita tayari ilikuwa imeanza!! Usipende kusoma vitu kwa ku rush rush jenga mazoea ya kusoma mstari kwa mstari ndo uje umwage povu hapa.
 

Aisee kumbe vilaza mko wengi sana[emoji848][emoji848]
 
Manina,,,,nimescrow mpaka chini hakuna muendelezo,,,,unadhan watu ni kila mda tunapata mda wa kuingia humu!!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha utoto wewe kwani umelazimishwa kufungua huo uzi?? Kama huwezi kupata mda wa kuingia tena humu JF futa hiyo App kwenye simu yako..tujifunze kuwa wavumilivu au ukiona uvumilivu huwezi basi unaweza ukaendeleza alipoishia mtoa story
 
Hii ni fact kabisa kwa kile nilichokishuhudia rwanda ,tatizo watu wanakuja na comments za kukatisha tamaa na matusi naona hata uvuvi kuendelea na hii kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu we andaa simulizi yako vizuri then ushushe hapa kwa mpangilio ulio bora, wanao kubeza achana nao maana wengi naona ni wavivu wa kuvumilia mambo.
 
huyu LIKUD alilogwa na rafiki yake juma njemba
msamehe tu.
 
Ninavyopenda story hapa nimeshawaka... leta vitu Mkuu.
Halafu hii tabia ya watu kuvamia story na kukashifu kuwa ni uongo, ya nini? Kama unaona story ni ya uongo si uachane nayo?
Ustaarabu ni jambo la msingi linalowashinda wengi, hakika.
You are missed
 
Sasa ndio umesusa? Sio poa! Mimi pianilikuwepo vita ya 94.ila tu nilikuwa mdogo.niliitegemea kusisimka kwa simulizi yako.sasa ndio umetufanyiaje tena mkuu.wanaokatisha tamaa waki kila sehemu.usiwajali leta simulizi.hawa watu ndio walitusababishia na msiba humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri wako mkuu, hukutakiwa kabisa kupanikishwa na vijana wasiojielewa humu JF na kuamua kuacha story!
Kuna wengine humu tunapenda kujifunza Sana haya Mambo Sasa ukifanya hivyo tunakuwa bored kinoma.
Mwaga story watu tupate kujifunza.

Nikushauri tu Kama ikiwezekana chukua pc uitype hiyo story yako halafu uitupie humu ikiwa nzima then wewe upotee, wa kupanic na watoa povu unawachunia huku wewe unajinywea alikasusu bila wasiwasi. Hupaswi kufanya ligi na usiyemjua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ujanja mwingi mbele giza rwanda ilikua francophone wanaongea kifaransa ni sawa na wewe ukutane na mkongo asiejua kiswahili wala kingereza ila ana bonga kifaransa na wewe hujui
 
Nilivyofika hotelini mida si mrefu nikatoka kupata chakula, nikauliza mapokezi ntapata bia? Naam! Wakajibu zipo basi nikaa meza ya juu kabisa nikaanza kula bia.

Kesho nikaamka..mwingine aendeleze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…