Wanaweza kuwa wanakuja msibani huku wanapiga story fresh kabisa. Wakikaribia mita chache, wanasimama na kujipanga nani alianzishe kwenye kulia. Baada ya hapo ni kilio babu kubwa huku wakipokewa kwa kilio na waliowakuta, alafu usiku ni pombe na muziki kama kawaida.