Sintosahau: Siku mwandishi wa habari alipotushawishi tulie mbele ya kamera ili habari yetu na yake ipate uzito, wanawake waliweza, wanaume tulishindwa

Aisee! Wanalia zeni wanapiga stori
Wanaweza kuwa wanakuja msibani huku wanapiga story fresh kabisa. Wakikaribia mita chache, wanasimama na kujipanga nani alianzishe kwenye kulia. Baada ya hapo ni kilio babu kubwa huku wakipokewa kwa kilio na waliowakuta, alafu usiku ni pombe na muziki kama kawaida.
 
Huwa inanibidi nicheke tu
 
Back
Top Bottom