Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Ma tamthilia hayo...mtu anakesha kuangalia mi series ya movies bac kazi ni kuiga mauchafu uko, nimekuja kugundua baadhi ya wanawake wamejifunza mbinu nyingi za kuchepuka kupitia hayo ma series na matamthiria

Ahahahah kwahiyo tuwakataze
 
Tupia vipicha kidogo tufanye assessment.
 
Anachokisema mleta mada, mimi pia huwa nakifikiria sana pindi ninapokutana na mtu aliyevaa namna hiyo.

Mimi kuvaa pensi inaishia kuwa exposed mbele ya mke wangu pekee.

Imagine wengine wanatembea nje huko kama hawa wanaozungumziwa hapa.

Hatukatai maendeleo ya usasa ila inapitiliza sana, tuchuje vya kufuata na kufanya, sio kila kitu cha kufuata na kukifanya
 
sinza ni kamtaa fulani hivi kahovyo..
 
Ata pensi zipo za heshima lakini sio vile vinjunga wanavyo vaa ni booksa zile
 
Picha vipi mkuu.Humo mlimani City ni kawaida kukuta watu wanatembea vifua mbele na kwa kujiamini wakiwa na vyupi
 
Upo powaa....

Kapicha kidogo tuone 😊 πŸ˜ŠπŸ€“πŸ˜‚
 
Ni sinza hii hii ya Sheby namjua/
namwita sheby ameuchubua/
au I'm not sure/
nikiangalia body ya ya gari ngaringari mwendo kama pasta joshua.....
Ati kuna habari/
Kwamba watu wanaponda mali/

[emoji445]Mind your business[emoji445]
Darasa

Punchlines
 
Hili la wabongo kusema ''now day'' huwa linaniacha hoi kweli kweli.
 
 
Utashangaa. Tunaishi Sinza na bado Tunampenda na kumtii Mungu pamoja na yote hayo. Ni uamuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…