Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Ila nmekwambia cheza kwenye basic needs....ambazo ni lazima mtu ahitaji.
Did it
1.research hitaj la jamii yako eneo husika..washindani wako etc
Did it
2.tafuta eneo lenye watu weng.mzunguko mkubwa
Did it
3.ongea ongea na watu wanaofanya hko kitu wakwambie ABCD
Did it
4.Fanya mahesab yako na anza na mtaj mdogo..nasisitiza anza na mtaj mdogo
In Plan (Not Done)
5.fanya maamuz..usiichungulie sana hela na usisikilize negatives from people..kaa mbali na negative pipo
😁😁
6.kuwa bahil..save money
Did it

80% Paper Clean.
 
Ndo inabid uchangamshe akili kijana unataka nikutafnie kila kitu...unataka nikutajie magoli yangu mkuu.kweeli?

Aaah...hapo sitokutajia maana ndo mganga wangu kanambia hvo(jokin)

Ila nmekwambia cheza kwenye basic needs....ambazo ni lazima mtu ahitaji.

Na hakikisha unafata basics zote za biashara..yaan elimu ya biashara.jifunze hata youtube etc..sku 1 tu inatosha kujifunza

1.research hitaj la jamii yako eneo husika..washindani wako etc
2.tafuta eneo lenye watu weng.mzunguko mkubwa
3.ongea ongea na watu wanaofanya hko kitu wakwambie ABCD
4.Fanya mahesab yako na anza na mtaj mdogo..nasisitiza anza na mtaj mdogo
5.fanya maamuz..usiichungulie sana hela na usisikilize negatives from people..kaa mbali na negative pipo
6.kuwa bahil..save money

Mengne jifunze mitandaon mkuu..articles ziko kibao
Ni hapo sasa. Tusidanganyane. Hakuna mtu anayeweka siri ya namna anavyopata mkate wake hadhara. Hata awe mjinga kiasi gani. Hata makampuni makubwa kabisa hayatoi siri. Ndiyo maana kila siku nawaambia vijana wazingatie ule msemo wa ''ukisikia unaambiwa njoo huku nikuonyeshe fursa basi ujue wewe ndiyo fursa''.
 
Mkuu...mjini mipango yule urio ni born town kitambo..na wenzio wanavyofanya investment kama hyo usidhan wanafanya fanya tu..kwanza ..mule ndan anaweka appliances zote used..kuanzia Ac..TV..mziki ..vile vitu vya electronics..hawanunuag vipya wajanja hata sku1..pale chin si umeona tiles vipande vipande..kuna sehem vinauzwa vile vipande...vilivyopasuka....majiko yake ni ya kawaida sana..viti ndi usiseme..katumia mbao za pelets..yaan zile mbao ukinunua za lak5..zinafanga maajabu..mabango ya nje kidogo ndo atakua kanunua nunua bei nzur....labda na paa lake...rang sjui na takataka zingne..bei ya kawaida tu..

Kodi ndo atakua anapasuka pale..si chin ya 5m.sasa ukipiga hyo kwa haraka haraka kwanza hata hyo 250m nimezidisha
Hapa nakazia kabisa...pale katumia kama 160m
 
Mipango baba..na ubahili...kiingilio elf10 ndugu yangu unashindwa?...unaingia unaagiza red label kachupa kadogo kale .unamwambia weita akuletee na kvant tayar keshaiweka kwenye li glas likubwa achanganye huko huko na tonic aweke ndimu inakuja pale kama cocktail...na chuoa ndogo ya red label unaonekana mtashaaaa...unaagiza vichips kadhaa na tumishkak..umevaa umependeza ni shades za hatar...unaweka funguo mezan ...watoto wanapita unanukia perfume moja ya hatar....watoto wanajileta tuu.hao bongo muv na wasanii tunapishana nao tu wanakodoa macho wanataman uwanunulie pombe.kumbe wew una budget yako ya elf 50 tuh hapo mbwembwe zote hzo......mtu akikuchek anajua jamaa liko vzurr hili.hahahaha..kumbe mipango tu...unafanya hvyo mara1 a week....huku ukisave pesa nyingne unawekeza kwenye magoli yako ....mjin mipango..hakikisha una source za income nying mzee baba...
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Unataka nawee akuunge kwenye grid ya taifa...tuulizen kwanza watoto wa mjin sio mnavamia tu kama dogo janja muanze kukohoa na kupungua uzito..(jokin)
Hivi kuna joking hapa[emoji848]...I hope uko serious, msaidie mwenzio
 
Back
Top Bottom