Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Kwani ni lazima huyo La Chaaaz apendwe na kila mtu hapa duniani?Ulipofurahia janga la moto kwa mwenzako nikakuona mwehu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni lazima huyo La Chaaaz apendwe na kila mtu hapa duniani?Ulipofurahia janga la moto kwa mwenzako nikakuona mwehu tu
Did itIla nmekwambia cheza kwenye basic needs....ambazo ni lazima mtu ahitaji.
Did it1.research hitaj la jamii yako eneo husika..washindani wako etc
Did it2.tafuta eneo lenye watu weng.mzunguko mkubwa
Did it3.ongea ongea na watu wanaofanya hko kitu wakwambie ABCD
In Plan (Not Done)4.Fanya mahesab yako na anza na mtaj mdogo..nasisitiza anza na mtaj mdogo
😁😁5.fanya maamuz..usiichungulie sana hela na usisikilize negatives from people..kaa mbali na negative pipo
Did it6.kuwa bahil..save money
😀😀😀😀😀😀Ulitaka kusema nini hapa ili tukusaidie kukuelewesha mkuu?
Au sinza imehamia Mpanda?
Ni hapo sasa. Tusidanganyane. Hakuna mtu anayeweka siri ya namna anavyopata mkate wake hadhara. Hata awe mjinga kiasi gani. Hata makampuni makubwa kabisa hayatoi siri. Ndiyo maana kila siku nawaambia vijana wazingatie ule msemo wa ''ukisikia unaambiwa njoo huku nikuonyeshe fursa basi ujue wewe ndiyo fursa''.Ndo inabid uchangamshe akili kijana unataka nikutafnie kila kitu...unataka nikutajie magoli yangu mkuu.kweeli?
Aaah...hapo sitokutajia maana ndo mganga wangu kanambia hvo(jokin)
Ila nmekwambia cheza kwenye basic needs....ambazo ni lazima mtu ahitaji.
Na hakikisha unafata basics zote za biashara..yaan elimu ya biashara.jifunze hata youtube etc..sku 1 tu inatosha kujifunza
1.research hitaj la jamii yako eneo husika..washindani wako etc
2.tafuta eneo lenye watu weng.mzunguko mkubwa
3.ongea ongea na watu wanaofanya hko kitu wakwambie ABCD
4.Fanya mahesab yako na anza na mtaj mdogo..nasisitiza anza na mtaj mdogo
5.fanya maamuz..usiichungulie sana hela na usisikilize negatives from people..kaa mbali na negative pipo
6.kuwa bahil..save money
Mengne jifunze mitandaon mkuu..articles ziko kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu atakuwa mtu wa kusini, kuna kijiji kinaitwa Sinza, kimo mbele ya Somanga kama unaelekea kusini,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio huyo huyo! Lord Eyes anaomba Kama aina ya mwanafunzi wa shule ya msingi anaeomba ice cream kwa wenzie muda wote.
Hapa nakazia kabisa...pale katumia kama 160mMkuu...mjini mipango yule urio ni born town kitambo..na wenzio wanavyofanya investment kama hyo usidhan wanafanya fanya tu..kwanza ..mule ndan anaweka appliances zote used..kuanzia Ac..TV..mziki ..vile vitu vya electronics..hawanunuag vipya wajanja hata sku1..pale chin si umeona tiles vipande vipande..kuna sehem vinauzwa vile vipande...vilivyopasuka....majiko yake ni ya kawaida sana..viti ndi usiseme..katumia mbao za pelets..yaan zile mbao ukinunua za lak5..zinafanga maajabu..mabango ya nje kidogo ndo atakua kanunua nunua bei nzur....labda na paa lake...rang sjui na takataka zingne..bei ya kawaida tu..
Kodi ndo atakua anapasuka pale..si chin ya 5m.sasa ukipiga hyo kwa haraka haraka kwanza hata hyo 250m nimezidisha
Siku nyingi sana...naona carwash pembeni, yaan sinza imefulia balaa labda huyo la chalz na elegant ndo walikuwa wanapiga pesa...Kwani kishakufa
Ulimuona sasa huyo tukunyema...ha ha haPale pa uwoya pa kiseing kweli nishakaaga kunywa pale.....
infact nilikuwa nataka nimuone live huyo uwoya amekaaje kaaje
160M ukijumlisha kodi tufanye 50M mwaka So 250M unaweza fungua Bar ikawa habari ya mjini Sinza na DSM kwa ujumla.Hapa nakazia kabisa...pale katumia kama 160m
Duh!!!Unataka nawee akuunge kwenye grid ya taifa...tuulizen kwanza watoto wa mjin sio mnavamia tu kama dogo janja muanze kukohoa na kupungua uzito..(jokin)
Ulitaka kuweka jiko pale twinalikua ananizuia anatoa tu sababu mpya kila siku
Wewe unapajua meeda lkn hupajui la chalz[emoji848]Au nimechanganya madesa nilifikiri ni MEEDA BAR
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Mipango baba..na ubahili...kiingilio elf10 ndugu yangu unashindwa?...unaingia unaagiza red label kachupa kadogo kale .unamwambia weita akuletee na kvant tayar keshaiweka kwenye li glas likubwa achanganye huko huko na tonic aweke ndimu inakuja pale kama cocktail...na chuoa ndogo ya red label unaonekana mtashaaaa...unaagiza vichips kadhaa na tumishkak..umevaa umependeza ni shades za hatar...unaweka funguo mezan ...watoto wanapita unanukia perfume moja ya hatar....watoto wanajileta tuu.hao bongo muv na wasanii tunapishana nao tu wanakodoa macho wanataman uwanunulie pombe.kumbe wew una budget yako ya elf 50 tuh hapo mbwembwe zote hzo......mtu akikuchek anajua jamaa liko vzurr hili.hahahaha..kumbe mipango tu...unafanya hvyo mara1 a week....huku ukisave pesa nyingne unawekeza kwenye magoli yako ....mjin mipango..hakikisha una source za income nying mzee baba...
Hivi kuna joking hapa[emoji848]...I hope uko serious, msaidie mwenzioUnataka nawee akuunge kwenye grid ya taifa...tuulizen kwanza watoto wa mjin sio mnavamia tu kama dogo janja muanze kukohoa na kupungua uzito..(jokin)
Nilipita mara mbili tu.....Ulimuona sasa huyo tukunyema...ha ha ha
Kumuona tu au na kutupia[emoji1787][emoji1787][emoji23]...jokingAna gridi yule!!??
anyway mm nilikuwa nataka nimuone tu
manake wabongo wanapenda kweli ku exaggerate mambo...
Lachaaz ipo kwa wapi Sinza nayo hata siielewi kwani ina balabalani ngapiWewe unapajua meeda lkn hupajui la chalz[emoji848]
Kona bar, au ambiance kituo kinachofuata kushoto unaingia la chaazLachaaz ipo kwa wapi Sinza nayo hata siielewi kwani ina balabalani ngapi