Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
 
Watu wameshatengeneza mifereji ya hela zamani sana.

Hela huwa haitafutwi bali hela huwa inategwa.

Mfano kuna watu wanamiliki appartments kibao na kumbi za sherehe. Hao wanafungua maduka kwa ajili ya kujikeep busy tu kuepuka kushinda nyumbani kutwa nzima
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Mind your own business chief...
 
Aijuaye siri ya mtungi kata mwanangu. Dunia hii hasa kwenye nchi ambapo uchawa na ujambazi vimehalalishwa ione hivi hivi.
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Hamna duka la namna hiyo Sinza
 
Back
Top Bottom