cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ila mjini kuna mambo mengi luv, ukifatilia sana unaishia kuji stress tyuuhMaisha yana siri nyingi, kuna mambo mengi. Ukiacha mambo ya kimjini. Kuna watu wana biashara zaidi ya 3. Ukiona hiyo huenda kuna ambazo zinamwingizia pesa nyingi zaidi. Kuweza kuwa na maisha ya juu. Watu wanachakarika acha kabisa, maisha mazuri yana gharama zake.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app