Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
watu wa unga
 
Woote mnazunguka mbuyu, maduka mengi ya Sinza, Makumbusho, Tabata, Kinondoni na Kariakoo Ni Display Tu. Mzigo Upo Store... Ishu ni Kukwepa Kodi Tu TRA wakiingia... We nenda uliza nataka Kaptula XXXXL atakwambia hapa zimeniishia ngoja niagize store, unataka ngapi?? 😅😅

Wafanyabiashara nyoko sana
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho

Makalio ya mwenye duka size gani?
 
Naona wenye maduka yao wameipinga vikali hii post....

Oya Extrovert Vipi torati inasemaje kuhusiana na hili? Maana nimewahi kuuona huu mjadala kule kijijini Instagram na ulikuwa na comments nyingi sana za kuogofya.
 
Back
Top Bottom