Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Pitia line yake ya simu,utafahamu mengi
 
Maisha ni mipango kijana kuna watu wanaenda kazini saa 12 jioni na wanaishi kuliko wewe unaewahi saa 12
 
Maisha yana siri nyingi, kuna mambo mengi. Ukiacha mambo ya kimjini. Kuna watu wana biashara zaidi ya 3. Ukiona hiyo huenda kuna ambazo zinamwingizia pesa nyingi zaidi. Kuweza kuwa na maisha ya juu. Watu wanachakarika acha kabisa, maisha mazuri yana gharama zake.
Unakuta MTU Ana kosta zake 2 na biashara ya kuuza nguo online ashindwe kupanga frem ya kuzugia nankupata michongo mjini...Kuna mshikaji Hana show room Ila anauza magari anagiza magari likiwa melini ameshauza yaani yeye FAIDA ya laki tano anauza unataka kumchunguza utamweza..
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Mkuu hapa mjiiini watu wana michongo yao kama wasipokufungulia code huwezi kuelewa.
Kuna michezo fulani hapa wanaifanya watu mtu kuvuta dollar laki moja laki mbili iikitiki hadi wakati mwingine milioni kawaida.
Nilikuwa nadhani wanaifanya weusi tu ajabu nikaja kushangaa hadi wahindi tena si wanaume tu mpaka akina mama wa kihindi.
Sasa wafanya michongo hiyo ukikutana naye wewe unahisi ana biashara fulani kumbe siyo hata kidogo ni geresha.
Mjini watu wanaishi kwa code aisee na roho ngumu.
 
Ndio ni
Hivi pale mnapataje faida. Naona maduka mengi sana. Si pale gorofani!?
pale ghorofani

Faida inapatikana tuu boss,

Inategemea unauza nguo za aina gani, material, zinatokea wapi, unaenda na fashion inavyobadilika, wateja wako, namna unavyo jitangaza na bei

Mfano unakuta Kuna gauni linauzwa laki tatu kutoka turkey..... Utakuta Turkey ulinunua maybe kwa supplier ama dukan

Mfano ukichukua kwa supplier ujue bei inakuwa chini kidogo.... Ukieka gharama zako za kusafirisha plus ushuru, carriage inward, labour offloading, unajua ukifka huku utauz kwa shngp baada ya kupiga hesabu!!

Ko faida inaonekn japo utakuta sio Kila siku Ila ukiuza basi unapata kitu!
 
Ok shukran sana kwa mrejesho barikiwa sana kuna siku nitakuja kukuungisha. Nikijua floor uliyopo
 
Back
Top Bottom