round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Wengine hizo zinakuwa labda ni ofisi za transactions lakin store unakuta ipo KariakooKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Kwani nani alikwambia ufumbe machoTufumbuane macho
Mind your own business chief...Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
old money naisikiaga sana hii kitu, naomba unifafanulie pamoja na mifano kwa bongoOld money may be…
Wanafungua biashara out of boredom.
haya ,ngoja tutafute nauli tuje ila msitukimbie banaKaribu mjini...🤣
Aijuaye siri ya mtungi kata mwanangu. Dunia hii hasa kwenye nchi ambapo uchawa na ujambazi vimehalalishwa ione hivi hivi.Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Hamna duka la namna hiyo SinzaKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.