Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Usisahau pia na bei za fremu zipo juu.Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Nyumba za kupanga ni bei juu sanaUsisahau pia na bei za fremu zipo juu.
Siku ukiacha kuamini mambo ya kufikirika na kuanza kuamini mambo yenye uhalisia utakuwa mmoja wao.
sinza gani hio mbona mnapenda kushadadai vitu kwa kufata mkumbo??
Hilo duka liko mahali gani hapo Sinza?
Acheni stori za vijiweni nyie wakoswa kazi!
Nakazia hizo comments hapo juu, maduka ya sinza yanauza sana na yanauza kwa wadosi wa middle class ambao hawawezi ku shop masaki na ulaya lakini pia hawapendi purukushani za kariakoo,Hamna duka la namna hiyo Sinza
Kama kina Asasi na kina “baresa” na wabongo wengine ambao si maarufu.old money naisikiaga sana hii kitu, naomba unifafanulie pamoja na mifano kwa bongo
Pale karibu na Ile saluni pale car wash kwenye kijiwe cha Boda Boda?Mfike dukan kwetu sinza Mori tunatazamana na bigbon sheli
Nop mkuu wengine wameuza nyumba za urithi mkuu.mambo ya mujini itakuwa wanatakatishaa!
Hapa karibu na wedding Lydia ama ghorofa hili lenye maduka mengi juu halijaishaPale karibu na Ile saluni pale car wash kwenye kijiwe cha Boda Boda?
Maeneo yangu kabisa hayo mkuu.Hapa karibu na wedding Lydia ama ghorofa hili lenye maduka mengi juu halijaisha
Usitamani Maisha ya mtu yaani usitamani Maisha ya boss wako ni hatari SanaMaisha yana siri nyingi, kuna mambo mengi. Ukiacha mambo ya kimjini. Kuna watu wana biashara zaidi ya 3. Ukiona hiyo huenda kuna ambazo zinamwingizia pesa nyingi zaidi. Kuweza kuwa na maisha ya juu. Watu wanachakarika acha kabisa, maisha mazuri yana gharama zake.
Hapo mnauza simu na chaji au sio karibu na Dallas car wash.Hapa karibu na wedding Lydia ama ghorofa hili lenye maduka mengi juu halijaisha
Labda Sinza Morisinza gani hio mbona mnapenda kushadadai vitu kwa kufata mkumbo??