Pesa ya urithi toka kwenye familia zao za kitajiri zilizo tajirika kitambo sana.old money naisikiaga sana hii kitu, naomba unifafanulie pamoja na mifano kwa bongo
Pitia line yake ya simu,utafahamu mengiKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Unaemjua
Mjini akili tu 😃Old money may be…
Wanafungua biashara out of boredom.
Nawajua wengi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaemjua
Hivi pale mnapataje faida. Naona maduka mengi sana. Si pale gorofani!?Mfike dukan kwetu sinza Mori tunatazamana na bigbon sheli
Skaba scuba unamjua au unachafua watu tu?Katika kesi ya kukamatwa skaba skuba alikutwa askofu mwenye makanisa lukuki akiwa ni nguli wa uingizaji na uuzaji wa madaww ya kulevya
Ni hela za zamani za wajerumani zinachimbwa huko maporini 😀old money naisikiaga sana hii kitu, naomba unifafanulie pamoja na mifano kwa bongo
Mtu analipa kodi ya frame 1.2m kwa mwezi halafu ukiangalia ndani vitu anavyouza unakuta jumla ya thamani yake haifiki hata laki 6 😋😋🫣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Picha la kutisha
😁😁😁😁😁😁Mtu analipa kodi ya frame 1.2m kwa mwezi halafu ukiangalia ndani vitu anavyouza unakuta jumla ya thamani yake haifiki hata laki 6 😋😋🫣
Unakuta MTU Ana kosta zake 2 na biashara ya kuuza nguo online ashindwe kupanga frem ya kuzugia nankupata michongo mjini...Kuna mshikaji Hana show room Ila anauza magari anagiza magari likiwa melini ameshauza yaani yeye FAIDA ya laki tano anauza unataka kumchunguza utamweza..Maisha yana siri nyingi, kuna mambo mengi. Ukiacha mambo ya kimjini. Kuna watu wana biashara zaidi ya 3. Ukiona hiyo huenda kuna ambazo zinamwingizia pesa nyingi zaidi. Kuweza kuwa na maisha ya juu. Watu wanachakarika acha kabisa, maisha mazuri yana gharama zake.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sana naomba konekshen.Iga ufe
Mimi nipo tayar mkuuUpo tayari kupata kigugumizi kama cha agrey?
Ni mishangazi na mimama inaniweka mjini hapa...Utuambie tshrt nne na raba nane zinakulipaje na china unaenda 😂
Mkuu hapa mjiiini watu wana michongo yao kama wasipokufungulia code huwezi kuelewa.Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
pale ghorofaniHivi pale mnapataje faida. Naona maduka mengi sana. Si pale gorofani!?
Ok shukran sana kwa mrejesho barikiwa sana kuna siku nitakuja kukuungisha. Nikijua floor uliyopoNdio ni
pale ghorofani
Faida inapatikana tuu boss,
Inategemea unauza nguo za aina gani, material, zinatokea wapi, unaenda na fashion inavyobadilika, wateja wako, namna unavyo jitangaza na bei
Mfano unakuta Kuna gauni linauzwa laki tatu kutoka turkey..... Utakuta Turkey ulinunua maybe kwa supplier ama dukan
Mfano ukichukua kwa supplier ujue bei inakuwa chini kidogo.... Ukieka gharama zako za kusafirisha plus ushuru, carriage inward, labour offloading, unajua ukifka huku utauz kwa shngp baada ya kupiga hesabu!!
Ko faida inaonekn japo utakuta sio Kila siku Ila ukiuza basi unapata kitu!