Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Vijana wamekata tamaa ya maisha. Kilichobaki ni kuona waliofanikiwa ni wauza unga.
 
Mkuu hicho ulichoandika kuhusu branch ni uongo mimi nafahamiana na wengi mno hapo sinza
 
Usipende kuongelea watu usio wajua tena kwenye serious allegations.
wewe umechanganyikiwa nini ...nani hamjui skaba shkuba wakati anakamatwa 2014 na kupelekwa marekani kusomewa kesi ya mtandao wa usafirishaji wa madawa ya kulevya ulikuwa wapi?
 
wewe umechanganyikiwa nini ...nani hamjui skaba shkuba wakati anakamatwa 2014 na kupelekwa marekani kusomewa kesi ya mtandao wa usafirishaji wa madawa ya kulevya ulikuwa wapi?
Shikuba na scaba scuba ni watu wawili tofauti. Shikuba ndio huyo wa madawa. Scabs scuba kama humjui kaulize Kigamboni kuanzia ferry hadi kimbiji huko.
 
Kabla hatujakupa password, kwanza unaweza kulala chumba kimoja na chatu?
 

Bila kapicha, ni uzushi
 
Nimerudi, hii rudi yangu ni ya kukujulisha nimepata pikipiki kali toka kwa bosi Trump mkata misaada, pikipiki hii ni zile za chini unazoziona kwenye muvi ila yangu imekuja na full AC, kamera, coolbox na vikolombwezo vipya hadi raha, pitapita Sinza utaiona, ruksa kupiga picha.
 
Mbona hayo maduka ni mengi sana china, online business.
 
Waige uchanike msamba
 
Nipo Sinza Vatican hapa mchizi anauza viatu vya kwenda kila siku duka lipo wazi alafu wateja hakuna.

Sku moja nilienda kuulizia Dawa ya timberland boots akaniambia daah kaka hiyo Sina labda mliman city hapa zimeisha.

Mchizi Hana stress Wala nini
Sisi ambao hatuna maduka sinza ndio tuna stress kwanini wana wanamaduka Sisi hatuna.

Oyaaaaa ngalia mbeleee wewe Dunia haina Huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…