RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Usipende kuongelea watu usio wajua tena kwenye serious allegations.ni mungu wako au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kuongelea watu usio wajua tena kwenye serious allegations.ni mungu wako au ?
Vijana wamekata tamaa ya maisha. Kilichobaki ni kuona waliofanikiwa ni wauza unga.Tuache mentallity za kuona wenye maduka ni wauza ngada .
Maduka ya Sinza mengi wanauza "online" , dukani bossi yupo instagram 24/7, anaposti ukiona unalipa namba , kuna boda wa delivery na ya usafiri unalipa.
Haya yote ndio akina Trump walianza kabla wewe hujazaliwa huko Namanyere, huhitaji kwend adukani , unaokoa muda na gharama.
Flana Moja Sinza inauzwa Tshs 50,000 na kwa siku anauza kama 4 tu, anauza pochi na viatu hao ni waliokuja dukani ila wa online ni wengi.
Mkuu hicho ulichoandika kuhusu branch ni uongo mimi nafahamiana na wengi mno hapo sinzaKwa ufupii ni kwamba ni maduka machache utakuta sinza ambayo hayana branch sehemu nyingne
Lakini mengi ya maduka hayo ya nguo, viatu hasa Yana matawi yake kinondoni kariakoo au mwenge au sinza hiyo hiyo.....
Lakini mnavyodanganyana sasa mara sijui ndo wanadangia sjui nn kama ni mtu mmoja basi hawawez kuwa wote, au wachache hawawez kuwa wote!!
Sinza home kwa wajanja 😂 Dalali wa mjini
Upo sawa kabisa lakini pia wenye maduka zaidi ya moja pia wapo,Mkuu hicho ulichoandika kuhusu branch ni uongo mimi nafahamiana na wengi mno hapo sinza
wewe umechanganyikiwa nini ...nani hamjui skaba shkuba wakati anakamatwa 2014 na kupelekwa marekani kusomewa kesi ya mtandao wa usafirishaji wa madawa ya kulevya ulikuwa wapi?Usipende kuongelea watu usio wajua tena kwenye serious allegations.
Shikuba na scaba scuba ni watu wawili tofauti. Shikuba ndio huyo wa madawa. Scabs scuba kama humjui kaulize Kigamboni kuanzia ferry hadi kimbiji huko.wewe umechanganyikiwa nini ...nani hamjui skaba shkuba wakati anakamatwa 2014 na kupelekwa marekani kusomewa kesi ya mtandao wa usafirishaji wa madawa ya kulevya ulikuwa wapi?
Pole kwa stress kunywa bia 😁Ni mishangazi na mimama inaniweka mjini hapa...
Alafu nipo stressed sana mda huu
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Nimerudi, hii rudi yangu ni ya kukujulisha nimepata pikipiki kali toka kwa bosi Trump mkata misaada, pikipiki hii ni zile za chini unazoziona kwenye muvi ila yangu imekuja na full AC, kamera, coolbox na vikolombwezo vipya hadi raha, pitapita Sinza utaiona, ruksa kupiga picha.Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
Waige uchanike msambaKwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.
Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza
Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.
Tufumbuane macho
you are rightMkuu hicho ulichoandika kuhusu branch ni uongo mimi nafahamiana na wengi mno hapo sinza