Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
View attachment 3066724
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta ya kula, wakati tuna ardhi kubwa ya kilimo yenye udongo wenye rutuba na vyanzo lukuki vya maji kuweza kulisha Africa na dunia, tunakwama wapi?!.

Ila kwa niliyo yashuhudia kwenye Nane kitaifa Dodoma, naomba kutoa BigUP sana kwa Rais Samia na Waziri Bashe, na Awamu yake ya 6 kwa kusisimua kilimo kwa BBT . Je sasa Tanzania ndio tunakwenda kulisha Africa na dunia, au itakuwa ni hadithi zile zile za Kilimo Kwanza, ASRP, Kilimo cha kufa na kupona, Siasa ni Kilimo?.

Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo, uchumi wa Tanzania unategemea kilimo, na asilimia 80 ya Watanzania wanategemea kilimo, ila wakulima, wafugaji na wavuvi ndilo kundi kubwa la watu wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea. Kama nchi yetu inategemea kilimo, kwanini wakulima wetu ni masikini wa kutupwa wanaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku?!.

Tangu tumepata uhuru, ile mwaka 1961, Tanzania tulikuwa na maadui watatu, Ujinga, Umasikini na Maradhi. Leo miaka 60 ya uhuru, maadui watatu hao bado wapo, ila pia sasa tumeongeza maadui wengine wawili, rushwa na ufisadi!.

Wakati tunapata uhuru, tumepata uhuru wakati mmoja nan chi za Tiger, Korea Kusini, Taiwan, Indonesia, Singapore, Malaysia, Bangladesh na nchi nyingine nyingi. Ukifika kwenye nchi hizi, ukaambiwa tulipata nazo uhuru, wao wakina with nothing, bila chochote, sisi tukiwa with everything (na kila kitu), ukilinganisha wenzetu walipo na sisi tulipo, kama una machozi ya karibu, unaweza kulia!,(a cry for my beloved country).

Ukiangalia sisi Tanzania tuna nini na wenzetu wana nini, kiukweli, sisi Tanzania tumejaaliwa kila kitu cha kutuwezesha kuendelea, na wenzetu tuliopata nao uhuru, hawana hata nusu ya vitu tulivyonavyo.

Tanzania tumejaaliwa aridhi kubwa ya kutosha yenye udongo wenye rutuba kuotesha kila zao tunalohitaji kwa chakula na ziada kuuza nje. Tanzania tumejaaliwa vyanzo vingi vya maji vya kuendesha schemes za kilimo cha umwagiliaji. Ni aibu kwa Tanzania kuagiza chakula, mchele, unga wa ngano, sukari na mafuta ya kupikia!.

Enzi za Nyerere, tulifuata mfumo wa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, tukitumia kauli mbiu ya “ili tuendelee tunahitaji vitu vine, Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora, “fedha sii msingi, fedha ni matokeo”. Vitu hivyo vyote vinne, vilikuwepo toka enzi ya Nyerere, sasa ni nini kilitufanya tusiendelee?!.

Tukaanzisha program mbalimbali za kilimo kwa kuanza na operesheni vijiji, tukaja siasa ni kilimo, kilimo cha kufa na kupona, kuna wakati tulikuwa tunajitosheleza kwa ngano. Mimi nimesoma darasa la kwanza mpaka la tatu, shuleni tukila bulga ya bure!.

Kama tuna kila kitu cha kutufanya tuendelee, kwanini Tanzania bado ni masikini?!.

Tulifanya kosa moja kubwa kusema fedha sio msingi wa maendeleo, fedha ni matokeo, ukweli ni kwamba fedha ndio kila kitu!.

Wakati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anangatuka katika uongozi, alikubali makosa na kusema “kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa”, japo Mwalimu Nyerere hakusema kosa lenyewe ni nini, lakini kosa kubwa Tanzania tuilolifanya ambalo limepelekea kuendelea kuishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, ni kudharau fedha, kwenye uwekezaji kwenye kilimo.

Kilimo cha jembe la mkono, ni kilimo cha kujikimu tuu, hakiwezi kumkomboa mkulima kutoka katika lindi la umasikini, sambamba na kilimo cha kutegemea mvua. Suluhisho la ukombozi wa kilimo ni kilimo biashara cha kutumia zana bora na za kisasa za kilimo.

Kwenye Nane Nane hii, nimeshuhudia mamia ya zana bora na za kisasa za kilimo zikiongozwa na kampuni ya Agricom Africa ambayo ambayo sio tuu imemwaga ma trekta ya kutosha, bali pia inajenga kiwanda cha kuunganisha matrekta ya kwa ushirikiano na kampuni ya Mahendra ya India. Huu sasa ndio ukombozi wa kweli wa sekta ya kilimo.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejipanga kujenga uchumi jumuishi unaowainua wananchi wote na kuwawezesha wananchi kunufaika ipasavyo kupitia uwekezaji unaofanywa katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi.

Rais Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Nanenane yaliyofanyika katika uwanja wa Nanenane Nzuguni jijini Dodoma.

Rais Dkt. Samia amesema Serikali imeongeza bajeti kwa ajili ya kilimo, mifugo na uvuvi ili uwekezaji huo ulete mageuzi makubwa kwa kuongeza maeneo ya umwagiliaji, matumizi ya mbolea, uzalishaji na usambazaji wa mbegu bora, kuimarisha huduma za ugani, kuboresha miundombinu ya kuhudumia mifugo pamoja na upatikanaji wa huduma za ugani, chanjo, majosho na masoko.

Rais Dkt. Samia pia amesema serikali imeendelea na ujenzi na ukarabati wa viwanda vya uchakataji wa mazao ya mifugo, ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya uvuvi, ukuzaji wa viumbe maji na utafutaji wa masoko na utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa wavuvi na wafugaji.

Vile vile, Rais Dkt. Samia amesema lengo la kujenga uchumi jumuishi, ni kuongeza tija katika sekta za uzalishaji na kupunguza umasikini wa kipato kwa mwananchi mmoja mmoja na kutumia sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kutengeneza ajira Aidha, Rais Dkt. Samia amesema jitihada hizi, pamoja na kusaidia Tanzania kuhakikisha upatikanaji wa chakula, pia zina mchango katika Pato la Taifa na uchumi kwa ujumla.

Hali kadhalika, Rais Dkt. Samia amesisitiza kuwa Serikali inalenga kuongeza bajeti katika utafiti ndio maana maabara na vituo vya utafiti vimezinduliwa ili kuwezesha nchi kufikia masoko ya kimataifa kupitia tafiti.

Ni aibu kwa nchi yenye mabonde ya mpunga ya kutosha kulisha nchi za Afrika Mashariki, kuendelea kuagiza mchele kutoka nje!. Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutoka kwa kilimo cha miwa, kuagiza sukori kutoka nje ya nchi!.

Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutosha kwa kilimo cha zao la chikichi na alizeti, kuendelea kuagiza mafuta ya kula kutoka nje!.

Nimalizie kwa Pongezi kwa Rais Samia, na waziri wake Hussein Bashe kwa uwekezaji mkubwa kwenye kilimo na mpango kamambe wa BBT, mpango huu ukisimamiwa kikamilifu, unakwenda kulitoa aibu taifa letu kuagiza mazao ya chakula kutoka nje.

Mungu Mbariki Rais Samia aweze,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Tatizo ni akili mbovu ndugu, Wala siyo kuwa na rasilimali nyingi.
Unaweza ukawa una rasilimali nyingi sana lakini kama akili yako ni mbovu hizo rasilimali haziwezi kukusaidia kitu chochote kile, badala yake utaendelea kubaki kuwa mtu maskini na fukara wa kutupwa.

"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi kwenye Mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu HAWANA AKILI NZURI, endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."

Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za Utawala wa ubaguzi wa rangi.
 
Paskali mwambia BASHE aache WEEZY kwa kisingizio cha uhaba wa bidhaa....Mama Kizimkazi kamuumbua majkuzi....Kitendo alicypofanya cha kuwapa wauza simu wa kariakoo kuagiza sukari ni UTAPELI aka MANJEGEKA.
Pascal Mayalla ni mnufaika wa mda mrefu wa mnyororo wa ufisadi wa kimfumo-mtandao wa Tanzania. Ni vigumu sana kumbadilisha mtu wa namna hiyo lakini ana haki ya kutoa maoni yake.

Tumheshimu tu, kwa sababu hajijui na anaamini kuna binadamu watanzania wamezaliwa waishi kwa anasa kwa gharama za watanzania mamilioni masikini. Hiyo ndiyo imani yake na huo ndio uelewa wake.
 
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
View attachment 3066724
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta ya kula, wakati tuna ardhi kubwa ya kilimo yenye udongo wenye rutuba na vyanzo lukuki vya maji kuweza kulisha Africa na dunia, tunakwama wapi?!.

Ila kwa niliyo yashuhudia kwenye Nane kitaifa Dodoma, naomba kutoa BigUP sana kwa Rais Samia na Waziri Bashe, na Awamu yake ya 6 kwa kusisimua kilimo kwa BBT . Je sasa Tanzania ndio tunakwenda kulisha Africa na dunia, au itakuwa ni hadithi zile zile za Kilimo Kwanza, ASRP, Kilimo cha kufa na kupona, Siasa ni Kilimo?.

Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo, uchumi wa Tanzania unategemea kilimo, na asilimia 80 ya Watanzania wanategemea kilimo, ila wakulima, wafugaji na wavuvi ndilo kundi kubwa la watu wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea. Kama nchi yetu inategemea kilimo, kwanini wakulima wetu ni masikini wa kutupwa wanaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku?!.

Tangu tumepata uhuru, ile mwaka 1961, Tanzania tulikuwa na maadui watatu, Ujinga, Umasikini na Maradhi. Leo miaka 60 ya uhuru, maadui watatu hao bado wapo, ila pia sasa tumeongeza maadui wengine wawili, rushwa na ufisadi!.

Wakati tunapata uhuru, tumepata uhuru wakati mmoja nan chi za Tiger, Korea Kusini, Taiwan, Indonesia, Singapore, Malaysia, Bangladesh na nchi nyingine nyingi. Ukifika kwenye nchi hizi, ukaambiwa tulipata nazo uhuru, wao wakina with nothing, bila chochote, sisi tukiwa with everything (na kila kitu), ukilinganisha wenzetu walipo na sisi tulipo, kama una machozi ya karibu, unaweza kulia!,(a cry for my beloved country).

Ukiangalia sisi Tanzania tuna nini na wenzetu wana nini, kiukweli, sisi Tanzania tumejaaliwa kila kitu cha kutuwezesha kuendelea, na wenzetu tuliopata nao uhuru, hawana hata nusu ya vitu tulivyonavyo.

Tanzania tumejaaliwa aridhi kubwa ya kutosha yenye udongo wenye rutuba kuotesha kila zao tunalohitaji kwa chakula na ziada kuuza nje. Tanzania tumejaaliwa vyanzo vingi vya maji vya kuendesha schemes za kilimo cha umwagiliaji. Ni aibu kwa Tanzania kuagiza chakula, mchele, unga wa ngano, sukari na mafuta ya kupikia!.

Enzi za Nyerere, tulifuata mfumo wa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, tukitumia kauli mbiu ya “ili tuendelee tunahitaji vitu vine, Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora, “fedha sii msingi, fedha ni matokeo”. Vitu hivyo vyote vinne, vilikuwepo toka enzi ya Nyerere, sasa ni nini kilitufanya tusiendelee?!.

Tukaanzisha program mbalimbali za kilimo kwa kuanza na operesheni vijiji, tukaja siasa ni kilimo, kilimo cha kufa na kupona, kuna wakati tulikuwa tunajitosheleza kwa ngano. Mimi nimesoma darasa la kwanza mpaka la tatu, shuleni tukila bulga ya bure!.

Kama tuna kila kitu cha kutufanya tuendelee, kwanini Tanzania bado ni masikini?!.

Tulifanya kosa moja kubwa kusema fedha sio msingi wa maendeleo, fedha ni matokeo, ukweli ni kwamba fedha ndio kila kitu!.

Wakati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anangatuka katika uongozi, alikubali makosa na kusema “kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa”, japo Mwalimu Nyerere hakusema kosa lenyewe ni nini, lakini kosa kubwa Tanzania tuilolifanya ambalo limepelekea kuendelea kuishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, ni kudharau fedha, kwenye uwekezaji kwenye kilimo.

Kilimo cha jembe la mkono, ni kilimo cha kujikimu tuu, hakiwezi kumkomboa mkulima kutoka katika lindi la umasikini, sambamba na kilimo cha kutegemea mvua. Suluhisho la ukombozi wa kilimo ni kilimo biashara cha kutumia zana bora na za kisasa za kilimo.

Kwenye Nane Nane hii, nimeshuhudia mamia ya zana bora na za kisasa za kilimo zikiongozwa na kampuni ya Agricom Africa ambayo ambayo sio tuu imemwaga ma trekta ya kutosha, bali pia inajenga kiwanda cha kuunganisha matrekta ya kwa ushirikiano na kampuni ya Mahendra ya India. Huu sasa ndio ukombozi wa kweli wa sekta ya kilimo.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejipanga kujenga uchumi jumuishi unaowainua wananchi wote na kuwawezesha wananchi kunufaika ipasavyo kupitia uwekezaji unaofanywa katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi.

Rais Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Nanenane yaliyofanyika katika uwanja wa Nanenane Nzuguni jijini Dodoma.

Rais Dkt. Samia amesema Serikali imeongeza bajeti kwa ajili ya kilimo, mifugo na uvuvi ili uwekezaji huo ulete mageuzi makubwa kwa kuongeza maeneo ya umwagiliaji, matumizi ya mbolea, uzalishaji na usambazaji wa mbegu bora, kuimarisha huduma za ugani, kuboresha miundombinu ya kuhudumia mifugo pamoja na upatikanaji wa huduma za ugani, chanjo, majosho na masoko.

Rais Dkt. Samia pia amesema serikali imeendelea na ujenzi na ukarabati wa viwanda vya uchakataji wa mazao ya mifugo, ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya uvuvi, ukuzaji wa viumbe maji na utafutaji wa masoko na utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa wavuvi na wafugaji.

Vile vile, Rais Dkt. Samia amesema lengo la kujenga uchumi jumuishi, ni kuongeza tija katika sekta za uzalishaji na kupunguza umasikini wa kipato kwa mwananchi mmoja mmoja na kutumia sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kutengeneza ajira Aidha, Rais Dkt. Samia amesema jitihada hizi, pamoja na kusaidia Tanzania kuhakikisha upatikanaji wa chakula, pia zina mchango katika Pato la Taifa na uchumi kwa ujumla.

Hali kadhalika, Rais Dkt. Samia amesisitiza kuwa Serikali inalenga kuongeza bajeti katika utafiti ndio maana maabara na vituo vya utafiti vimezinduliwa ili kuwezesha nchi kufikia masoko ya kimataifa kupitia tafiti.

Ni aibu kwa nchi yenye mabonde ya mpunga ya kutosha kulisha nchi za Afrika Mashariki, kuendelea kuagiza mchele kutoka nje!. Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutoka kwa kilimo cha miwa, kuagiza sukori kutoka nje ya nchi!.

Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutosha kwa kilimo cha zao la chikichi na alizeti, kuendelea kuagiza mafuta ya kula kutoka nje!.

Nimalizie kwa Pongezi kwa Rais Samia, na waziri wake Hussein Bashe kwa uwekezaji mkubwa kwenye kilimo na mpango kamambe wa BBT, mpango huu ukisimamiwa kikamilifu, unakwenda kulitoa aibu taifa letu kuagiza mazao ya chakula kutoka nje.

Mungu Mbariki Rais Samia aweze,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Paschal umeingia leo Tanzania na Afrika ya watu weusi?
Mtu mweusi hajiwezi kwa hiyo ni mtu tegemezi na omba omba.
 
Pascal Mayalla ni mnufaika wa mda mrefu wa mnyororo wa ufisadi wa kimfumo-mtandao wa Tanzania. Ni vigumu sana kumbadilisha mtu wa namna hiyo lakini ana haki ya kutoa maoni yake.

Tumheshimu tu, kwa sababu hajijui na anaamini kuna binadamu watanzania wamezaliwa waishi kwa anasa kwa gharama za watanzania mamilioni masikini. Hiyo ndiyo imani yake na huo ndio uelewa wake.

Mayalla maana yake njaa ,basi atakuwa anaendeshwa na jina lake.
 
Mapinduzi ya kilimo Chawa.

Tanzania haina kilimo cha maana na kinacho tufanya tuonekane tunalima ni kwa sababu tunazungukwa na nchi zote zinazo lima lima, Hatuna uwezo wa kulisha nchi moja full.

Hakuna Mapinduzi ya kilimo bila mapinduzi ya elimu, vipi usha wahi tembelea shule zilizo kuwa za mchepuo wa kilimo? usha wahi zitembelea hivi karibuni ujioneee zilivyo kwa sasa? sasa hayo mageuzi yanatoka wapi?

Usha wahi tembelea vyuo vya kati vya kilimo uone vilivyo na hali mbaya? majengo yamekaa kama mabaki ya kambi za wapiganaji wa vita za Veitanam?Hayo mageuzi yanatoka wapi kama vyuo vya kilimo viko vile?

Kanda ya ziwa Pamba inashuka uzalishaju kila mwaka na watu walisha acha kulima hilo unalijua?Kahawa isha kufa na kuzikwa Kilimanjaro na Arusha, Unazungumzia mapinduzi yapi?

Kule Arusha yale majengo ya TFA kwa sasa ni madula ya vitu kutoka nje unazungumzia kilimo kipi?

Unajua wakulima wengi nikiwemo hata mimi huwa napambana kulima mwanzo mwisho hakuna hata asilimia 1 ya sapoti naipata kutoka Serikalini?

Kuna mageuzi ya kilimo bila mageuzi ya viwanda vya kilimo vikiwemo vya kusindika na pia vya kuzalisha pembejeo?

Usha wahi tembelea Super Market kubwa uone vyakula vingi vinatoka nje?

Inaonekana nyie CCM mna definition yenu kuhusu mageuzi ya kilimo.
Umeongea ukweli kabisa ni kilimo chawa kwakweli
 
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
View attachment 3066724
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta ya kula, wakati tuna ardhi kubwa ya kilimo yenye udongo wenye rutuba na vyanzo lukuki vya maji kuweza kulisha Africa na dunia, tunakwama wapi?!.

Ila kwa niliyo yashuhudia kwenye Nane kitaifa Dodoma, naomba kutoa BigUP sana kwa Rais Samia na Waziri Bashe, na Awamu yake ya 6 kwa kusisimua kilimo kwa BBT . Je sasa Tanzania ndio tunakwenda kulisha Africa na dunia, au itakuwa ni hadithi zile zile za Kilimo Kwanza, ASRP, Kilimo cha kufa na kupona, Siasa ni Kilimo?.

Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo, uchumi wa Tanzania unategemea kilimo, na asilimia 80 ya Watanzania wanategemea kilimo, ila wakulima, wafugaji na wavuvi ndilo kundi kubwa la watu wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea. Kama nchi yetu inategemea kilimo, kwanini wakulima wetu ni masikini wa kutupwa wanaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku?!.

Tangu tumepata uhuru, ile mwaka 1961, Tanzania tulikuwa na maadui watatu, Ujinga, Umasikini na Maradhi. Leo miaka 60 ya uhuru, maadui watatu hao bado wapo, ila pia sasa tumeongeza maadui wengine wawili, rushwa na ufisadi!.

Wakati tunapata uhuru, tumepata uhuru wakati mmoja nan chi za Tiger, Korea Kusini, Taiwan, Indonesia, Singapore, Malaysia, Bangladesh na nchi nyingine nyingi. Ukifika kwenye nchi hizi, ukaambiwa tulipata nazo uhuru, wao wakina with nothing, bila chochote, sisi tukiwa with everything (na kila kitu), ukilinganisha wenzetu walipo na sisi tulipo, kama una machozi ya karibu, unaweza kulia!,(a cry for my beloved country).

Ukiangalia sisi Tanzania tuna nini na wenzetu wana nini, kiukweli, sisi Tanzania tumejaaliwa kila kitu cha kutuwezesha kuendelea, na wenzetu tuliopata nao uhuru, hawana hata nusu ya vitu tulivyonavyo.

Tanzania tumejaaliwa aridhi kubwa ya kutosha yenye udongo wenye rutuba kuotesha kila zao tunalohitaji kwa chakula na ziada kuuza nje. Tanzania tumejaaliwa vyanzo vingi vya maji vya kuendesha schemes za kilimo cha umwagiliaji. Ni aibu kwa Tanzania kuagiza chakula, mchele, unga wa ngano, sukari na mafuta ya kupikia!.

Enzi za Nyerere, tulifuata mfumo wa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, tukitumia kauli mbiu ya “ili tuendelee tunahitaji vitu vine, Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora, “fedha sii msingi, fedha ni matokeo”. Vitu hivyo vyote vinne, vilikuwepo toka enzi ya Nyerere, sasa ni nini kilitufanya tusiendelee?!.

Tukaanzisha program mbalimbali za kilimo kwa kuanza na operesheni vijiji, tukaja siasa ni kilimo, kilimo cha kufa na kupona, kuna wakati tulikuwa tunajitosheleza kwa ngano. Mimi nimesoma darasa la kwanza mpaka la tatu, shuleni tukila bulga ya bure!.

Kama tuna kila kitu cha kutufanya tuendelee, kwanini Tanzania bado ni masikini?!.

Tulifanya kosa moja kubwa kusema fedha sio msingi wa maendeleo, fedha ni matokeo, ukweli ni kwamba fedha ndio kila kitu!.

Wakati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anangatuka katika uongozi, alikubali makosa na kusema “kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa”, japo Mwalimu Nyerere hakusema kosa lenyewe ni nini, lakini kosa kubwa Tanzania tuilolifanya ambalo limepelekea kuendelea kuishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, ni kudharau fedha, kwenye uwekezaji kwenye kilimo.

Kilimo cha jembe la mkono, ni kilimo cha kujikimu tuu, hakiwezi kumkomboa mkulima kutoka katika lindi la umasikini, sambamba na kilimo cha kutegemea mvua. Suluhisho la ukombozi wa kilimo ni kilimo biashara cha kutumia zana bora na za kisasa za kilimo.

Kwenye Nane Nane hii, nimeshuhudia mamia ya zana bora na za kisasa za kilimo zikiongozwa na kampuni ya Agricom Africa ambayo ambayo sio tuu imemwaga ma trekta ya kutosha, bali pia inajenga kiwanda cha kuunganisha matrekta ya kwa ushirikiano na kampuni ya Mahendra ya India. Huu sasa ndio ukombozi wa kweli wa sekta ya kilimo.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejipanga kujenga uchumi jumuishi unaowainua wananchi wote na kuwawezesha wananchi kunufaika ipasavyo kupitia uwekezaji unaofanywa katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi.

Rais Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Nanenane yaliyofanyika katika uwanja wa Nanenane Nzuguni jijini Dodoma.

Rais Dkt. Samia amesema Serikali imeongeza bajeti kwa ajili ya kilimo, mifugo na uvuvi ili uwekezaji huo ulete mageuzi makubwa kwa kuongeza maeneo ya umwagiliaji, matumizi ya mbolea, uzalishaji na usambazaji wa mbegu bora, kuimarisha huduma za ugani, kuboresha miundombinu ya kuhudumia mifugo pamoja na upatikanaji wa huduma za ugani, chanjo, majosho na masoko.

Rais Dkt. Samia pia amesema serikali imeendelea na ujenzi na ukarabati wa viwanda vya uchakataji wa mazao ya mifugo, ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya uvuvi, ukuzaji wa viumbe maji na utafutaji wa masoko na utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa wavuvi na wafugaji.

Vile vile, Rais Dkt. Samia amesema lengo la kujenga uchumi jumuishi, ni kuongeza tija katika sekta za uzalishaji na kupunguza umasikini wa kipato kwa mwananchi mmoja mmoja na kutumia sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kutengeneza ajira Aidha, Rais Dkt. Samia amesema jitihada hizi, pamoja na kusaidia Tanzania kuhakikisha upatikanaji wa chakula, pia zina mchango katika Pato la Taifa na uchumi kwa ujumla.

Hali kadhalika, Rais Dkt. Samia amesisitiza kuwa Serikali inalenga kuongeza bajeti katika utafiti ndio maana maabara na vituo vya utafiti vimezinduliwa ili kuwezesha nchi kufikia masoko ya kimataifa kupitia tafiti.

Ni aibu kwa nchi yenye mabonde ya mpunga ya kutosha kulisha nchi za Afrika Mashariki, kuendelea kuagiza mchele kutoka nje!. Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutoka kwa kilimo cha miwa, kuagiza sukori kutoka nje ya nchi!.

Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutosha kwa kilimo cha zao la chikichi na alizeti, kuendelea kuagiza mafuta ya kula kutoka nje!.

Nimalizie kwa Pongezi kwa Rais Samia, na waziri wake Hussein Bashe kwa uwekezaji mkubwa kwenye kilimo na mpango kamambe wa BBT, mpango huu ukisimamiwa kikamilifu, unakwenda kulitoa aibu taifa letu kuagiza mazao ya chakula kutoka nje.

Mungu Mbariki Rais Samia aweze,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Acha uchawa wewe baba bbt mpaka sasa imeongeza uzalishaji kiasi gani nchini?
 
Mbona akuna chochote kilichofanyika ni maneno matupu tu...amesema hiki amesema hiki.
Nilijua takwimu hata ya kilimofulani cha kibiashara tumeongoza ukanda flani au Africa...
Tunakazi ya kufanya kwenye kilimo na sio hayo maneno matupu.
 
we acha tu, nigeria wana import refined oil na kuuza nje crude oil, dangote kajenga refinary wamekataa kumuuzia crude oil, ana import
 
Pascal wewe ni mwabdishi hujupaswa kusubiria kulishwa matangopori yaliyopikwa na kuwekewa sukari yaani maonyesho ya nane nane.
Je una picha ya shamba la mfano?
 
Tukumbuke wakati wa Magufuli yaliwahi kuletwa matrekta kwa ajili ya kilimo, matrekta hayo walipewa viongozi ambao waliyatumia kukokota matrela ya kubeba makontena bandarini, mengi yalikufa. Nenda Arusha, huko aliwahi kuenda kiongozi mmoja wa safu (cream) ya juu nchini na alikuta matrekta mapya yakiwemo yale yanayofanya kazi zote hukohuko shambani yakiwa yamenyofolewa vipuri! Mhe. Majaliwa aliliona hilo.
Nitakuazima tochi ukavitafute vile viwanda vya zana za kilimo Ubungo, Mbeya, Arusha, Mang'ula na Moshi, najua ukiwasha tochi usiku hautaviona labda uiwashe mchana huenda utabahatika kuyaona majengo yake.
Mvua zilinyesha sana na kusababisha mafuriko lakini zilipokata tukashindwa kuyatumia maji yaliyoanza kupungua mpaka yakakauka kabisa, na hivi sasa mabomba ya mamlaka za maji eti hayana maji huku waziri husika akizitembelea kujua kulikoni na kurudi bila jibu!
Toka kabla ya uhuru kwenye asili ya maonesho ya nanenane huko Nyanza zana za kilimo zimekuwa zikioneshwa na kuleta matumaini ila maonesho yakiisha na matumaini yanaisha. Huenda zana hizo zikiuzwa kwa wakulima haswa badala ya wale wa uzunguni na mambati mavX lavuda yatatumika kwenye kusudio na tukikumbuka kufufua viwanda vya zana za kilimo ambavyo sasa vinatengeneza bisikuti kama kile cha Ubungo huenda tutajaribu kulima na tufungue upatikanaji wa hizo zana kwa wote na bila kuhusisha siasa za kibaguzi.
Tanzania ni yetu sote na isiwe nongwa waziri kutembelea shamba la Zitto.
 
Waliposema unatafuta teuzi nilikuwa siwaelewi kumbe ni kweli bhana bandiko limekaa kichawa chawa
 
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
View attachment 3066724
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta ya kula, wakati tuna ardhi kubwa ya kilimo yenye udongo wenye rutuba na vyanzo lukuki vya maji kuweza kulisha Africa na dunia, tunakwama wapi?!.

Ila kwa niliyo yashuhudia kwenye Nane kitaifa Dodoma, naomba kutoa BigUP sana kwa Rais Samia na Waziri Bashe, na Awamu yake ya 6 kwa kusisimua kilimo kwa BBT . Je sasa Tanzania ndio tunakwenda kulisha Africa na dunia, au itakuwa ni hadithi zile zile za Kilimo Kwanza, ASRP, Kilimo cha kufa na kupona, Siasa ni Kilimo?.

Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo, uchumi wa Tanzania unategemea kilimo, na asilimia 80 ya Watanzania wanategemea kilimo, ila wakulima, wafugaji na wavuvi ndilo kundi kubwa la watu wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea. Kama nchi yetu inategemea kilimo, kwanini wakulima wetu ni masikini wa kutupwa wanaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku?!.

Tangu tumepata uhuru, ile mwaka 1961, Tanzania tulikuwa na maadui watatu, Ujinga, Umasikini na Maradhi. Leo miaka 60 ya uhuru, maadui watatu hao bado wapo, ila pia sasa tumeongeza maadui wengine wawili, rushwa na ufisadi!.

Wakati tunapata uhuru, tumepata uhuru wakati mmoja nan chi za Tiger, Korea Kusini, Taiwan, Indonesia, Singapore, Malaysia, Bangladesh na nchi nyingine nyingi. Ukifika kwenye nchi hizi, ukaambiwa tulipata nazo uhuru, wao wakina with nothing, bila chochote, sisi tukiwa with everything (na kila kitu), ukilinganisha wenzetu walipo na sisi tulipo, kama una machozi ya karibu, unaweza kulia!,(a cry for my beloved country).

Ukiangalia sisi Tanzania tuna nini na wenzetu wana nini, kiukweli, sisi Tanzania tumejaaliwa kila kitu cha kutuwezesha kuendelea, na wenzetu tuliopata nao uhuru, hawana hata nusu ya vitu tulivyonavyo.

Tanzania tumejaaliwa aridhi kubwa ya kutosha yenye udongo wenye rutuba kuotesha kila zao tunalohitaji kwa chakula na ziada kuuza nje. Tanzania tumejaaliwa vyanzo vingi vya maji vya kuendesha schemes za kilimo cha umwagiliaji. Ni aibu kwa Tanzania kuagiza chakula, mchele, unga wa ngano, sukari na mafuta ya kupikia!.

Enzi za Nyerere, tulifuata mfumo wa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, tukitumia kauli mbiu ya “ili tuendelee tunahitaji vitu vine, Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora, “fedha sii msingi, fedha ni matokeo”. Vitu hivyo vyote vinne, vilikuwepo toka enzi ya Nyerere, sasa ni nini kilitufanya tusiendelee?!.

Tukaanzisha program mbalimbali za kilimo kwa kuanza na operesheni vijiji, tukaja siasa ni kilimo, kilimo cha kufa na kupona, kuna wakati tulikuwa tunajitosheleza kwa ngano. Mimi nimesoma darasa la kwanza mpaka la tatu, shuleni tukila bulga ya bure!.

Kama tuna kila kitu cha kutufanya tuendelee, kwanini Tanzania bado ni masikini?!.

Tulifanya kosa moja kubwa kusema fedha sio msingi wa maendeleo, fedha ni matokeo, ukweli ni kwamba fedha ndio kila kitu!.

Wakati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anangatuka katika uongozi, alikubali makosa na kusema “kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa”, japo Mwalimu Nyerere hakusema kosa lenyewe ni nini, lakini kosa kubwa Tanzania tuilolifanya ambalo limepelekea kuendelea kuishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, ni kudharau fedha, kwenye uwekezaji kwenye kilimo.

Kilimo cha jembe la mkono, ni kilimo cha kujikimu tuu, hakiwezi kumkomboa mkulima kutoka katika lindi la umasikini, sambamba na kilimo cha kutegemea mvua. Suluhisho la ukombozi wa kilimo ni kilimo biashara cha kutumia zana bora na za kisasa za kilimo.

Kwenye Nane Nane hii, nimeshuhudia mamia ya zana bora na za kisasa za kilimo zikiongozwa na kampuni ya Agricom Africa ambayo ambayo sio tuu imemwaga ma trekta ya kutosha, bali pia inajenga kiwanda cha kuunganisha matrekta ya kwa ushirikiano na kampuni ya Mahendra ya India. Huu sasa ndio ukombozi wa kweli wa sekta ya kilimo. Hebu shuhudia, kuona ni kuamini

View: https://youtu.be/TF5CgsG8NcA?si=Tyx5GwMcowBOdrHW

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejipanga kujenga uchumi jumuishi unaowainua wananchi wote na kuwawezesha wananchi kunufaika ipasavyo kupitia uwekezaji unaofanywa katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi.

Rais Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Nanenane yaliyofanyika katika uwanja wa Nanenane Nzuguni jijini Dodoma.

Rais Dkt. Samia amesema Serikali imeongeza bajeti kwa ajili ya kilimo, mifugo na uvuvi ili uwekezaji huo ulete mageuzi makubwa kwa kuongeza maeneo ya umwagiliaji, matumizi ya mbolea, uzalishaji na usambazaji wa mbegu bora, kuimarisha huduma za ugani, kuboresha miundombinu ya kuhudumia mifugo pamoja na upatikanaji wa huduma za ugani, chanjo, majosho na masoko.

Rais Dkt. Samia pia amesema serikali imeendelea na ujenzi na ukarabati wa viwanda vya uchakataji wa mazao ya mifugo, ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya uvuvi, ukuzaji wa viumbe maji na utafutaji wa masoko na utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa wavuvi na wafugaji.

Vile vile, Rais Dkt. Samia amesema lengo la kujenga uchumi jumuishi, ni kuongeza tija katika sekta za uzalishaji na kupunguza umasikini wa kipato kwa mwananchi mmoja mmoja na kutumia sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kutengeneza ajira Aidha, Rais Dkt. Samia amesema jitihada hizi, pamoja na kusaidia Tanzania kuhakikisha upatikanaji wa chakula, pia zina mchango katika Pato la Taifa na uchumi kwa ujumla.

Hali kadhalika, Rais Dkt. Samia amesisitiza kuwa Serikali inalenga kuongeza bajeti katika utafiti ndio maana maabara na vituo vya utafiti vimezinduliwa ili kuwezesha nchi kufikia masoko ya kimataifa kupitia tafiti.

Ni aibu kwa nchi yenye mabonde ya mpunga ya kutosha kulisha nchi za Afrika Mashariki, kuendelea kuagiza mchele kutoka nje!. Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutoka kwa kilimo cha miwa, kuagiza sukori kutoka nje ya nchi!.

Ni aibu kwa nchi yenye ardhi ya kutosha kwa kilimo cha zao la chikichi na alizeti, kuendelea kuagiza mafuta ya kula kutoka nje!.

Nimalizie kwa Pongezi kwa Rais Samia, na waziri wake Hussein Bashe kwa uwekezaji mkubwa kwenye kilimo na mpango kamambe wa BBT, mpango huu ukisimamiwa kikamilifu, unakwenda kulitoa aibu taifa letu kuagiza mazao ya chakula kutoka nje.

Mungu Mbariki Rais Samia aweze,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Mapinduzi ya Kilimo kwa bajeti ya TShs trilioni 1!!!
 
Back
Top Bottom