Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

Bajeti ya Kilimo Trilioni 1,alafu tunataka kufanya mageuzi?
70% ya bajeti inapelekwa kwenye matumizi ya ovyo!
 
Mapinduzi ya Kilimo katika nchi hii,ni Sawa na hadithi za Abunuwasi.Tanzania hakuna mipango ya Mapinduzi ya Kilimo,bali uchepushaji wa pesa za umma,unao fanywa na viongozi wa CCM.

Ni mpumbavu tu,ndo ataamini huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…