Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Mundende ni lazima uanze kumwonjesha mkeo...akiipata nje anapotelea humohumo.
Ila we kaka utakuwa womanizer,somo zuri wamekusikia
Unajua sana tuMimi nimesoma Kayumba. Womaniser ndio nini vile?
Mbona tunawajua ni wajinga flani hivi amazing ndo maana tukaambiwa tuishi nanyi kwa akiliSiku mtakayotujua wanawake vzr mtajicheka na kujiona wajinga sana π€£π€£π€£
Nitarudi baadae kidogo... Ngoja nikapake
Unajua sana tu
Nilishaijaribu hiyo siku moja, af wakati huo nimepiga bapa(nyagi) jumlisha stress za maisha.
Alooo!! Ilibaki kidogo wife nimng'oe kizazi, maana asubui alivoenda kukojoa alikojoa na vinyamanyam
WE ulitumia msumeno wa kukatia chuma sema .Ww au mkeo, mmojawapo ni mgonjwa
goodness!Nilishaijaribu hiyo siku moja, af wakati huo nimepiga bapa(nyagi) jumlisha stress za maisha.
Alooo!! Ilibaki kidogo wife nimng'oe kizazi, maana asubui alivoenda kukojoa alikojoa na vinyamanyama
MmhWatibeli sio Womaniser Mkuu
Sawa kungwi ila nataka nikukumbushe hata Samson alijua nguvu zake zinafanya kazi kwa Delila ila si uliona kilichomkuta.?? πMbona tunawajua ni wajinga flani hivi amazing ndo maana tukaambiwa tuishi nanyi kwa akili