Nyie sisiem ndiyo mnapaswa mjitafakari,siyo mnatosha raia wajitafakari eti "serikali haijaribiwi"
Ukiangalia zile videos;
1. za waliopigwa risasi kwa jicho la intelligence unagundua vijana wa Tz wamevuka ule mstari wa uoga ambao mliuremba remba kwa jina la "TANZANIA NI NCHI YA AMANI".
2. Videos za mazishi ndiyo zimezisisha kuonyesha hiki nilichokiandika. Watu walikuwa wanaimba na kushangilia nyimbo za ujasiri kama vijana walioenda kuwinda Simba miaka ile ya wahenga badala ya kusikitika.
Maana yake nini?
Serikali ndiyo ijitafakari.
Raia Wana visasi vya kimya kimya.
Msumbiji walipokuwa wanashambuliwa na wale waasi,mwanzo serikali ilikuwa kiburi kama nyie. Walikuwa wanatoa kauli za VITISHO na kutoa maonyo "Ole wenu" "serikali inaamuru mijisalimishe ndani ya siku.."
Vijana wakazidi kupeleka moto hadi baadae serikali ikakiri imezidiwa na inaomba msaada kutoka kwa mataifa rafiki.
The rest was history. Hadi Leo Mozambique siyo ile ya zamani.
Sasa nyie sisiem endeleeni na hizo kauli zenu za kipuuzi "serikali Ina mkono mrefu" "usishindane na serikali" badala ya kutatua tatizo Ina soft way.
Ngoja siku vijana ziwafikie hizi silaha kisha muanze kupimana ubavu.
View attachment 3499778