Kwa heri boss wangu. Nimeshapata majibu. Labda nikuache tu na hili “watanzania sio tena wale wa kununua propaganda zenu”Anha hilo swali nimekuuliza baada ya wewe kusema kwamba Diaspora kazi yao ni kuhamasisha na sio kuja front
Ndo nimekuuliza kama kila mtu akijiweka kwenye fungu la kuhamasisha nani atakuja kuandamana sasa?